Mark my word nitakukumbusha ole wako ujifiche!! Ayatollah lazima apopolewe!!!Manina zenu kumtwanga Ayatollah ni kawaida mtatwanga ila kudumu na Ayatollah Kwenye battle ndio mziki ilipo Ayatollah walipelekewa moto mara TU baada ya mapinduzi na walitoboa, ishu sio kulipua ndani ya wiki 2 ishu ni kukaa ulingoni kwa miaka 6+ na Ayatollah
Kingine hao raia ni mbwembwe TU lengo ni Bado lile shambulio La June hakuna mlicho haribu zilikua propaganda Sasa mnataka mkaharibu na kutoa uongozi, mlicho fanya June mmeenda kukisoma Sasa subirini moto. Tusisikie mlio
huyo ata russia aende apo hatokiBaada ya utawala w Ayatollah Ali Khamenei kuua waandamanaji zaidi ya 16,000 utawala huo unabidi uanze kutia maji kichwani tayari kuanza kunyolewa wiki hii au wiki chache zinazokuja.
Utawala huo lazima ushambuliwe maana umejaa damu katika mikono yake.
Kulikuwa na mazungumzo mengi kuhusu maandamano nchini Iran, lakini yalizama kwenye damu…Kufikia wakati wanasiasa walipoanza kuunda misimamo, Ayatollah walikuwa tayari wamewaua maelfu…Iran itakuwaje baada ya umwagaji damu huu? Ikiwa utawala utasalia, unatuma ishara wazi kwa kila mnyanyasaji: kuua watu wa kutosha na wewe unabaki madarakani,”
Kwa sababu hiyo Utawala huo lazima ushambuliwe tu watake wasitake lazma damu za waandamanaji zilipwe!!!!!
Hivi ninyi Wafuga Midevu na Majini ni nani aliyewaroga? Hivi mna amini Iran anaweza simama Vitani na Marekani na akawa salama?Hongereni kwa kuaminishwa ujinga. Anachofanya marekani ni zilipendwa na kwa staili hii hatoboi
Irani anachosubiri ni kuanza kushambuliwa ili apate sababu
Maneno mengi ya nini? Kama yeye kidume kweli, si aanze kumshambuliaHivi ninyi Wafuga Midevu na Majini ni nani aliyewaroga? Hivi mna amini Iran anaweza simama Vitani na Marekani na akawa salama?
Endeleeni kuwapa kichwa Iran kama mlivyokuwa mnawaramba matako Hamas,Hezbollah na Houth sasa hivi wako wapi? Mbona siwasikii mkiwasifiasifia kama zamani?
Kwenye vita vya siku 12 na Israel tu Iran ilipoteza Makamanda waandamizi wengi tu na hicho kilikuwa ni kipigo cha Israel tu sasa akiingia na Marekani kutakuwa na Jeshi hapo?
Kumekuwa na upotoshaji mwingi kuhusu vita vya siku 12 Kati ya Israel na Iran kwa Wafuga Midevu na Majini kama wewe kuwasifia Iran kwa kuharibu majengo huko Israel na kusahau maelfu ya Wairan waliouliwa katika vita hiyo wakiwemo Makamanda waandamizi na Mkuu wao wa majeshi.
Kwa upande wa Israel iliweza kutumia Iran ndege-vita zaidi ya 200 na kulitawala anga lote la Iran na hawa kupoteza ndege hata moja katika Operation yao hiyo na hakuna askari wao hata mmoja aliyekuwa kwa siku zote 12 za vita. Haya yote Wafuga midevu na Majini hawajui wamemezeshwa propaganda zisizo za kweli!!!!!
Makamanda waliouwawa na majeshi ya Israel hawa hapo chini
Hakuna kitu hapo, mikwala mbuziWazee wa baharini tayari wameshafika kwenye eneo la tukio!!! Iran sasa hivi wanajiharishia tu!!
View: https://x.com/lionsofzion_org/status/2014421337255629065?s=61
View: https://x.com/war_radar2/status/2014478436652483042?s=61