The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Ulafi wa madaraka hujawahi kumwacha mtu salama japo kwa sasa samia naye anajilmbikizia mali ipo siku atakuja kulia peke yake.
Kumsikiliza kikwete lilikuwa ni jambo na uamuzi wa hovyo sana nyakati kama hizi. Kikwete ni FAILURE aliyepitwa na wakati samia na kikwete wanaenda kuangamia kwa wakati mmoja.
Mara zote muda ni mwalimu mzuri tusubiri.