The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Inauma sana 500B na katiba haipo.Kikwete by nature ni msanii, tulifikiri anavyozidi umri usanii unapungua aisee kumbe ndiyo kwanza umazidi
Kwanza huyu Mzee ana kesi na sisi kuhusu katiba mpya, zaidi ya Bil 500 zimepotea bure katiba hatujaiona. hadi wa leo - siku inakuja atazitapika.
Samia shtuka mapema huyo Mzee anakuingiza chaka..una muda wa kujiokoa bado.
Airport wataishika soon....Kikwete by nature ni msanii, tulifikiri anavyozidi umri usanii unapungua aisee kumbe ndiyo kwanza umazidi
Kwanza huyu Mzee ana kesi na sisi kuhusu katiba mpya, zaidi ya Bil 500 zimepotea bure katiba hatujaiona. hadi wa leo - siku inakuja atazitapika.
Samia shtuka mapema huyo Mzee anakuingiza chaka..una muda wa kujiokoa bado.
Wanamshauri aseme hivyo na anapotea sanaa...Ameshasema yeye ndiye amiri jeshi mkuu
Alishasema yeye si bosimwalimu mzuri
Nchi kwa sada hatuongelei chama, chama ni jina tu hata kinaweza kuitwa Fuvu na bado kikawa na impact kubwa. Hapa tunakataa wahuni, wezi, mafisadi na wauaji wanaotumia utambulisho au chombo chochote kufanya wanayofanya .Huyo amekuja kumalizia kazi aliyoshindwa kuifanya 2015. Kazi ya kuiua CCM.
CCM ilikuwa inaondoka 2015, wakati huu lengo lake linaenda kutimia.