Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najiuliza kinacho tafutwa hapa ni nini maana kama Simba walifika au hawakufika ina impact gani kwa leo? kwanini wasi ingie fainali sasa hivi au wabebe kombe kabisaKuna jamaa aliwah kuniambia kushabikia soka la Bongo lazima kidogo kichwani ziwe zimechepuka... Naona kama Kuna ukweli fulani
Kombe la CAF Super Cup (pia linajulikana kama Kombe la African Super Cup au kwa sababu za ufadhili TotalEnergies CAF Super Cup) ni shindano la kila mwaka la shirika la soka la Afrika ambalo hushindaniwa kati ya washindi wa Ligi ya Mabingwa wa CAF na Kombe la Shirikisho la CAF. Shindano hili lilifanyika kwa mara ya kwanza mnamo 1993
Nimekutafiria kabisa hapo sasa usije ukachanganya mambo[emoji1787][emoji1787]
Hapo hapo kwenye hiyo source yako naomba nenda hadi kwenye History halafu soma wamesemaje hapo awali kabla ya confederation cup ni bingwa wa makombe gani walikuwa wanashiriki?[emoji1787][emoji1787]kula chuma hiko.View attachment 2600540
![]()
![]()
![]()
real hasa ukiwa unashabikia yanga![]()
Kweli kabisa... Ila njaa mbaya sanaSawa ili iwe CAF cup ni sawasawa na shirikisho naomba nipe reference inayoonesha bingwa wa CAF cup mwaka 1993 ameshiriki kucheza Caf super cup kwaajili ya ufunguzi wa mashindano ya CAF ya msimu wa mwaka 1994
Nafikiri bado hujaelewa hoja ya msingi.....Hapo hapo kwenye hiyo source yako naomba nenda hadi kwenye History halafu soma wamesemaje hapo awali kabla ya confederation cup ni bingwa wa makombe gani walikuwa wanashiriki?
Mimi nilichokiongea ni Caf cup sio sawasawa na shirikisho kwasasa.bali kilicho sawasawa na kombe la shirikisho n Africa cup winners cup lakini wewe Umekuja kunibishia, sasa ili CAF cup iwe sawasawa na shirikisho basi nioneshe hapo kwenye source yako mshiriki wa CAF cup akishiriki CAF super cupNafikiri bado hujaelewa hoja ya msingi.....
Soma tena post uifahamu vema ,
Ulichokiongea ndicho kinachoongelewa katka post husika????Mimi nilichokiongea ni Caf cup sio sawasawa na shirikisho kwasasa.bali kilicho sawasawa na kombe la shirikisho n Africa cup winners cup lakini wewe Umekuja kunibishia, sasa ili CAF cup iwe sawasawa na shirikisho basi nioneshe hapo kwenye source yako mshiriki wa CAF cup akishiriki CAF super cup
Embu soma haya maelezo yako kwenye uzi wako.Ulichokiongea ndicho kinachoongelewa katka post husika????
Kwani wewe kinachokuuma simba kucheza Fainali ya caf cup mwaka 1993 au ni nini?Embu soma haya maelezo yako kwenye uzi wako.
"Halafu kuna CAF CUP unaweza kuliita Kombe la Shirikisho kwa Kiswahili! CAF ni shirikisho na kombe ndio lao, mechi zilipigwa 64 hapa!Ndio maana ya CAF CUP ya 1993! Hapa fainali alicheza Mfalme wa Nyika SIMBA YA DAR ES SALAAM dhidi ya Stella Adjame ya Ivory Coast, hii ilikuwa inahusisha Washindi wa pili kwa kila ligi kwenye nchi husika pasi na shaka."
Narudia tena kukuelewesha CAF cup sio sawasawa na CAF confederation cup naona unageuza geuza mambo umeyaandika mwenyewe saivi unaniuliza mimi kama kipo kwenye post