Siku zinavyozidi kwenda nazidi kuutilia Shaka uwepo wa Mungu

Mungu mwenyewe ameshindwa kuyamaliza mateso yake unategemea aje amalize yakwako😀😀 bado anateseka saivi na ujenzi wa makao ya watakatifu wake, bado ahanhaike kuwaumba mabikira wa maswahaba wake bado aje apigane na mpinga kristo bado aje apgane na lijitu lenye jicho moja, bado aandae bomu la kuangamiza dunia, bado atafute nauli ya kuja duniani kuwachukua watu wake--- hivi hata ingekuwa niwewe ungeweza kmkuu?
 
Kwa wewe ni Mungu mlikubaliana kwamba akiwepo na mambo gani hayapaswi kutokuwepo, ambayo baadaye umegundua kwamba sivyo mlivyokubaliana? Na je wewe na Mungu judgement yenu ya vitu/mtazamo wenu kuhusu matukio yanayotokea duniani unafanana? Anayoyaona Mungu kwamba ni mema na wewe unayaona vivyo hivyo na mabaya pia? Ngoja kwanza niweke pozi ili unijibu hayo niliyouliza kwanza.
 
Hata ingekuwa ni wewe unaweza kukubaliana kitu na kitu kisichokuwepo? Hapo siunakuwa unajikubaliana mwenyewe yaani sawa na kucheza mchezo wa drafiti peke yako
 
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo, kama ana huo uwezo.
Mungu ni dhana tu, na hasa mungu wawakristo na waislamu, bora hata hawa wanaoabudu sanamu wakiwawanaziona na kuzishika, ila hawa wanaoabudu mawazo yao basi ni wabishi balaa tena bila uthibitsho.
 


 
MUNGU yupo ndo mana wote tutakufa tukakutane nae live, hana upendeleo ndo maana wote tunakunya,tunalala,tunaumwa,tunakula, ayo mengine ni part tu ya maisha tafuta hela usimsingizie Mungu anapendelea
 
Umesahau wewe ni nani, ulitoka wapi, upo wapi na unaelekea wapi? Wakati utakapokumbuka na kutambua utaangua kicheko hadi utakaa chini.

Umejifungia katika gereza la kwako wewe mwenyewe na funguo unazo mwenyewe, hakuna wa kukutoa gerezani zaidi ya kujitoa mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…