figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu
Yaani mimi siku zote nilijua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani.
Nimeshangaa sana.. Kumbe ndo maana Zitto wanadai ni Pandikizi.
Vyama vya siasa vikuu vya Upinzani, NCCR-MAGEUZI, CHADEMA nk, Wamesusia mkutano wa Waziri Mkuu na vyama vya Siasa. Lakini Zitto anahimiza eti Shime wana ACT, tujaze viti🤔
Tanzania tuna safari ndefu ya kujikomboa Wasaliti ni wengi.
Zitto hajali Mbowe yupo korokoroni. Halafu zitto na yule Mzanzibar wataingia ukumbini kwa Ving'ora vya Polisi.
CHAUMA hawajawahi onja msafara wao uongozwe na Polisi kwenda Ukumbini
Kigoma huwa si waaminifu kwenye Siasa. Kwanini?