Siku zote nilikuwa najua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani

Salaam Wakuu

Yaani mimi siku zote nilijua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani.

Nimeshangaa sana.. Kumbe ndo maana Zitto wanadai ni Pandikizi.

Vyama vya siasa vikuu vya Upinzani, NCCR-MAGEUZI, CHADEMA nk, Wamesusia mkutano wa Waziri Mkuu na vyama vya Siasa. Lakini Zitto anahimiza eti Shime wana ACT, tujaze viti🤔

Tanzania tuna safari ndefu ya kujikomboa Wasaliti ni wengi.

Zitto hajali Mbowe yupo korokoroni. Halafu zitto na yule Mzanzibar wataingia ukumbini kwa Ving'ora vya Polisi.

CHAUMA hawajawahi onja msafara wao uongozwe na Polisi kwenda Ukumbini
View attachment 2044512View attachment 2044513
Kigoma huwa si waaminifu kwenye Siasa. Kwanini?
View attachment 2044514
Mchumia tumbo hana kiapo cha kudumu.
 
Salaam Wakuu

Yaani mimi siku zote nilijua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani.

Nimeshangaa sana.. Kumbe ndo maana Zitto wanadai ni Pandikizi.

Vyama vya siasa vikuu vya Upinzani, NCCR-MAGEUZI, CHADEMA nk, Wamesusia mkutano wa Waziri Mkuu na vyama vya Siasa. Lakini Zitto anahimiza eti Shime wana ACT, tujaze viti[emoji848]

Tanzania tuna safari ndefu ya kujikomboa Wasaliti ni wengi.

Zitto hajali Mbowe yupo korokoroni. Halafu zitto na yule Mzanzibar wataingia ukumbini kwa Ving'ora vya Polisi.

CHAUMA hawajawahi onja msafara wao uongozwe na Polisi kwenda Ukumbini
View attachment 2044512View attachment 2044513
Kigoma huwa si waaminifu kwenye Siasa. Kwanini?
View attachment 2044514
Waha ni neno tu hao ni wahutu wa Burundi,wanapenda sana uongozi na kutawala ndiyo maana waliuana sana. Zitto kinachojificha kwa kuvaa koti la upinzani

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wanasiasa wengi, isipokuwa Magufuli na Nyerere, huangalia masilahi yao binafsi na sio wananchi kama wanavyotuaminisha.
acha dharau kumfananisha Nyerere na jiwe, huyu jiwe alikua mbinafsi dhahiri shahiri hawezi kufanana na Nyerere
 
Mnahitaji upinzani wewe na nani?

Jiwakilishe wewe mwenyewe na tumbo lako usiniwakilishe Mimi.

Mimi nahitaki katiba Mpya na tume huru itakayokomesha vitendo vibaya vya wizi wa kura na ukataji Watu mapanga wakati wa kurudisha form za kugombea na mbinu myingine nyingi ovu juu ya kura yangu

Mimi ni mtanzania ninayehitaji maendeleo ya kiuchumi na kisiasa
Nikijiwakilisha mimi mwenyewe ndio nitakua sawa na Zito, ndio unapenda hivyo? Au wewe ndio Zito!?

Kama Wa kuitaka hiyo katiba mpya ndio kina wewe na unayenitamkia " Jiwakilishe wewe mwenyewe na tumbo lako usiniwakilishe Mimi " haitakaa impatikane kamwe🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

Polee
 
juzi tu hapa mlimuita Mbatia na Nccr wasaliti, kipindi kile wana urafiki na mwendazake.... Leo Nccr wapinzani wa kweli na ACT wasaliti...
 
Ratiba ya mkutano inaonyesha mkutano ni wa siku 3, day one nusu nzima ufunguzi ukifanywa na Rais na baada ya hapo mazungumzo na majadiliano yanaanza kwa siku 2 na nusu....

Unapopata kila platform unapaswa kuitumia kwa manufaa yako sio kujifanya mjuaji na watu wakusikilize unachotaka..
 
Huwa nasema tunahitaji sana vyama pinzani kwa maslahi ya nchi yetu lakini bahati mbaya sana hadi leo hii Tanzania hakuna upinzani wala wapinzani.

Zito anaangalia maslahi yake kwanza tena kwa upana zaidi

Mbowe hadi leo yuko ndani na hakuna wanachama wa chadema wamefanya lolote kuonyesha umoja wao kwa mwenyekiti wao kitaifa zaidi ya wale washirika wake wa karibu, tena wenye maslahi mapana wanaoonekana mitandaoni na mahakamani kwa uchache

Heri Mrema alijiamulia kuwa msemakweli

Ukitaka kustresssika basi jiunge na upinzani wa Tanzania
Mama ulitaka tuvue nguo tutenbee barabarani uchi au tuwe kama yule Mwamba Hamza ndipo ujue tupo????
 
Salaam Wakuu

Yaani mimi siku zote nilijua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani.

Nimeshangaa sana.. Kumbe ndo maana Zitto wanadai ni Pandikizi.

Vyama vya siasa vikuu vya Upinzani, NCCR-MAGEUZI, CHADEMA nk, Wamesusia mkutano wa Waziri Mkuu na vyama vya Siasa. Lakini Zitto anahimiza eti Shime wana ACT, tujaze viti🤔

Tanzania tuna safari ndefu ya kujikomboa Wasaliti ni wengi.

Zitto hajali Mbowe yupo korokoroni. Halafu zitto na yule Mzanzibar wataingia ukumbini kwa Ving'ora vya Polisi.

CHAUMA hawajawahi onja msafara wao uongozwe na Polisi kwenda Ukumbini
View attachment 2044512View attachment 2044513
Kigoma huwa si waaminifu kwenye Siasa. Kwanini?
View attachment 2044514
CUF ya maalim ilijipenyeza ACT inajuta kwa kujiunga nayo,na Sasa wameshituka mudasi mrefu watamuachia chama chake.
 
Mimi ni mtanzania ninayehitaji maendeleo ya kiuchumi na kisiasa
Nikijiwakilisha mimi mwenyewe ndio nitakua sawa na Zito, ndio unapenda hivyo? Au wewe ndio Zito!?

Kama Wa kuitaka hiyo katiba mpya ndio kina wewe na unayenitamkia " Jiwakilishe wewe mwenyewe na tumbo lako usiniwakilishe Mimi " haitakaa impatikane kamwe🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

Polee
Mama D acha longolongo tumekuchagua lini kuwa mwakilishi wetu hapa JF?
 
Wanasiasa wengi, isipokuwa Magufuli na Nyerere, huangalia masilahi yao binafsi na sio wananchi kama wanavyotuaminisha.
Nyerere na nani tena?? Njoo mwenyewe na fimbo nikuwaaa waaa waaa usirudie tena next time.
 
Wanasiasa wengi, isipokuwa Magufuli na Nyerere, huangalia masilahi yao binafsi na sio wananchi kama wanavyotuaminisha.
Usimfananishe mzalendo wa kweli JKN na wengine. Hakujilimbikizia mali, hakutaka butiama pawe jiji, hakutaka butiama pawepo uwanja wa ndege wa kimataifa, hata nyumba yake hakutaka iwe ya kubwa au ya kifahari. Na hakutaka awe rais mfanyabiazhara ya tanzanite. Mwalimu ni wa kipekee sana.
 
Back
Top Bottom