figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu
Yaani mimi siku zote nilijua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani.
Nimeshangaa sana.. Kumbe ndo maana Zitto wanadai ni Pandikizi.
Vyama vya siasa vikuu vya Upinzani, NCCR-MAGEUZI, CHADEMA nk, Wamesusia mkutano wa Waziri Mkuu na vyama vya Siasa. Lakini Zitto anahimiza eti Shime wana ACT, tujaze viti🤔
Tanzania tuna safari ndefu ya kujikomboa Wasaliti ni wengi.
Zitto hajali Mbowe yupo korokoroni. Halafu zitto na yule Mzanzibar wataingia ukumbini kwa Ving'ora vya Polisi.
CHAUMA hawajawahi onja msafara wao uongozwe na Polisi kwenda Ukumbini
View attachment 2044512View attachment 2044513
Kigoma huwa si waaminifu kwenye Siasa. Kwanini?
View attachment 2044514
Unataka tupindue serikali ili ujue tupo au unaleta unafiki tu ili upate "LIKE" tu ?Huwa nasema tunahitaji sana vyama pinzani kwa maslahi ya nchi yetu lakini bahati mbaya sana hadi leo hii Tanzania hakuna upinzani wala wapinzani.
Zito anaangalia maslahi yake kwanza tena kwa upana zaidi
Mbowe hadi leo yuko ndani na hakuna wanachama wa chadema wamefanya lolote kuonyesha umoja wao kwa mwenyekiti wao kitaifa zaidi ya wale washirika wake wa karibu, tena wenye maslahi mapana wanaoonekana mitandaoni na mahakamani kwa uchache
Heri Mrema alijiamulia kuwa msemakweli
Ukitaka kustresssika basi jiunge na upinzani wa Tanzania
Unataka tupindue serikali ili ujue tupo au unaleta unafiki tu ili upate "LIKE" tu ?
Wanasiasa wengi, isipokuwa Magufuli na Nyerere, huangalia masilahi yao binafsi na sio wananchi kama wanavyotuaminisha.Huwa nasema tunahitaji sana vyama pinzani kwa maslahi ya nchi yetu lakini bahati mbaya sana hadi leo hii Tanzania hakuna upinzani wala wapinzani.
Zito anaangalia maslahi yake kwanza tena kwa upana zaidi
Mbowe hadi leo yuko ndani na hakuna wanachama wa chadema wamefanya lolote kuonyesha umoja wao kwa mwenyekiti wao kitaifa zaidi ya wale washirika wake wa karibu, tena wenye maslahi mapana wanaoonekana mitandaoni na mahakamani kwa uchache
Heri Mrema alijiamulia kuwa msemakweli
Ukitaka kustresssika basi jiunge na upinzani wa Tanzania
Nimecheka Sana "yapogi"kiswahili kitamu jamani eeeeee!!!!!!Kama mnaweza pindueni tuu kwani mapinduzi si yapogi!? Mapinduzi ya Zanzibar unayajua weye!!!??
Mnahitaji upinzani wewe na nani?Huwa nasema tunahitaji sana vyama pinzani kwa maslahi ya nchi yetu lakini bahati mbaya sana hadi leo hii Tanzania hakuna upinzani wala wapinzani.
Zito anaangalia maslahi yake kwanza tena kwa upana zaidi
Mbowe hadi leo yuko ndani na hakuna wanachama wa chadema wamefanya lolote kuonyesha umoja wao kwa mwenyekiti wao kitaifa zaidi ya wale washirika wake wa karibu, tena wenye maslahi mapana wanaoonekana mitandaoni na mahakamani kwa uchache
Heri Mrema alijiamulia kuwa msemakweli
Ukitaka kustresssika basi jiunge na upinzani wa Tanzania
Picha inafikirisha.Hebu watazame hao walio pembeni ya Mh:Mbowe.Halafu angalia huyo anayepiga "maboko" aka makofi,utaelewa.Hatari!View attachment 2044535
“Characterize people by their actions and you will never be fooled by their words” - Anonymous!
Nyerere na nani?Acha utani.Ntakuchapa makofi!Wanasiasa wengi, isipokuwa Magufuli na Nyerere, huangalia masilahi yao binafsi na sio wananchi kama wanavyotuaminisha.
Acha kulialia njo CDM tuongeze nguvuHuwa nasema tunahitaji sana vyama pinzani kwa maslahi ya nchi yetu lakini bahati mbaya sana hadi leo hii Tanzania hakuna upinzani wala wapinzani.
Zito anaangalia maslahi yake kwanza tena kwa upana zaidi
Mbowe hadi leo yuko ndani na hakuna wanachama wa chadema wamefanya lolote kuonyesha umoja wao kwa mwenyekiti wao kitaifa zaidi ya wale washirika wake wa karibu, tena wenye maslahi mapana wanaoonekana mitandaoni na mahakamani kwa uchache
Heri Mrema alijiamulia kuwa msemakweli
Ukitaka kustresssika basi jiunge na upinzani wa Tanzania
Yapogi ni lugha ya kabila gani?Kama mnaweza pindueni tuu kwani mapinduzi si yapogi!? Mapinduzi ya Zanzibar unayajua weye!!!??
Mwache arembe lugha.Slang ya kiswahili hiyo.Yapogi ni lugha ya kabila gani?
Hii picture inaoingea na body language ya wapigwa picha zina uwalakiniView attachment 2044535
“Characterize people by their actions and you will never be fooled by their words” - Anonymous!
Hivi kumbe wapo wasio yajua matawi ya ccm, IPO ccm A, B, C... Z,. Kwa nyoongeza tu tawi z ni lile la mr. slow&co, 🤔.Salaam Wakuu
Yaani mimi siku zote nilijua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani.
Nimeshangaa sana.. Kumbe ndo maana Zitto wanadai ni Pandikizi.
Vyama vya siasa vikuu vya Upinzani, NCCR-MAGEUZI, CHADEMA nk, Wamesusia mkutano wa Waziri Mkuu na vyama vya Siasa. Lakini Zitto anahimiza eti Shime wana ACT, tujaze viti🤔
Tanzania tuna safari ndefu ya kujikomboa Wasaliti ni wengi.
Zitto hajali Mbowe yupo korokoroni. Halafu zitto na yule Mzanzibar wataingia ukumbini kwa Ving'ora vya Polisi.
CHAUMA hawajawahi onja msafara wao uongozwe na Polisi kwenda Ukumbini
View attachment 2044512View attachment 2044513
Kigoma huwa si waaminifu kwenye Siasa. Kwanini?
View attachment 2044514
Huyo ccm BSalaam Wakuu