Siku zote nilikuwa najua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani

Mchumia tumbo hana kiapo cha kudumu.
 
Waha ni neno tu hao ni wahutu wa Burundi,wanapenda sana uongozi na kutawala ndiyo maana waliuana sana. Zitto kinachojificha kwa kuvaa koti la upinzani

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wanasiasa wengi, isipokuwa Magufuli na Nyerere, huangalia masilahi yao binafsi na sio wananchi kama wanavyotuaminisha.
acha dharau kumfananisha Nyerere na jiwe, huyu jiwe alikua mbinafsi dhahiri shahiri hawezi kufanana na Nyerere
 

Mimi ni mtanzania ninayehitaji maendeleo ya kiuchumi na kisiasa
Nikijiwakilisha mimi mwenyewe ndio nitakua sawa na Zito, ndio unapenda hivyo? Au wewe ndio Zito!?

Kama Wa kuitaka hiyo katiba mpya ndio kina wewe na unayenitamkia " Jiwakilishe wewe mwenyewe na tumbo lako usiniwakilishe Mimi " haitakaa impatikane kamwe🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

Polee
 
juzi tu hapa mlimuita Mbatia na Nccr wasaliti, kipindi kile wana urafiki na mwendazake.... Leo Nccr wapinzani wa kweli na ACT wasaliti...
 
Ratiba ya mkutano inaonyesha mkutano ni wa siku 3, day one nusu nzima ufunguzi ukifanywa na Rais na baada ya hapo mazungumzo na majadiliano yanaanza kwa siku 2 na nusu....

Unapopata kila platform unapaswa kuitumia kwa manufaa yako sio kujifanya mjuaji na watu wakusikilize unachotaka..
 
Mama ulitaka tuvue nguo tutenbee barabarani uchi au tuwe kama yule Mwamba Hamza ndipo ujue tupo????
 
CUF ya maalim ilijipenyeza ACT inajuta kwa kujiunga nayo,na Sasa wameshituka mudasi mrefu watamuachia chama chake.
 
Mama D acha longolongo tumekuchagua lini kuwa mwakilishi wetu hapa JF?
 
Wanasiasa wengi, isipokuwa Magufuli na Nyerere, huangalia masilahi yao binafsi na sio wananchi kama wanavyotuaminisha.
Nyerere na nani tena?? Njoo mwenyewe na fimbo nikuwaaa waaa waaa usirudie tena next time.
 
Wanasiasa wengi, isipokuwa Magufuli na Nyerere, huangalia masilahi yao binafsi na sio wananchi kama wanavyotuaminisha.
Usimfananishe mzalendo wa kweli JKN na wengine. Hakujilimbikizia mali, hakutaka butiama pawe jiji, hakutaka butiama pawepo uwanja wa ndege wa kimataifa, hata nyumba yake hakutaka iwe ya kubwa au ya kifahari. Na hakutaka awe rais mfanyabiazhara ya tanzanite. Mwalimu ni wa kipekee sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…