Siku zote nilikuwa najua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani

maneno yako unavyoonge kama msamaria mwema kumbe ndio yaleyale ya kina polepole,

watanzania acheni unafki na msimamie mnachokiamini hakika mtafika mbali sana

Mimi sio msamaria The Knowledge Seeker wala usipate taabu kunifananishia huko

Na mimi pia sio mnafki kama wewe unayetaka niwaze kama unavyotaka. Mimi nasimamia ninachokijua na kukiamini

Sijui unanielewa!?
 
Mama ulitaka tuvue nguo tutenbee barabarani uchi au tuwe kama yule Mwamba Hamza ndipo ujue tupo????

Tuanze na Wewe binafsi.... Umefanya nini zaidi ya hizi posts zako hapa jf!?
 
It has been known long before jamaa ni pandikizi
 
Tuanze na Wewe binafsi.... Umefanya nini zaidi ya hizi posts zako hapa jf!?
Njoo nikulipie ada ya uanachama. Ukifanya hivyo utayajua majukumu yangu ndani ya Chama.
 
Hebu toa pendekezo lako, ungependa chadema wafanye nini kwenye hili suala? Wapo huku bila shaka pendekezo au ushauri wako utawafungua macho na wataufanyia kazi...
 
Njoo nikulipie ada ya uanachama. Ukifanya hivyo utayajua majukumu yangu ndani ya Chama.

Majukumu yako kwenye chama yanatakiwa kutambulika na matokeo ya kazi yako kwenye hicho chama, tukiongelea role profile yako bila matokeo yanayotegemewa ni bure
 
Hebu toa pendekezo lako, ungependa chadema wafanye nini kwenye hili suala? Wapo huku bila shaka pendekezo au ushauri wako utawafungua macho na wataufanyia kazi...

Wanasikiaga basi!? Labda na wewe usome ukawaambie

Majukumu yako kwenye chama yanatakiwa kutambulika na matokeo ya kazi yako kwenye hicho chama, tukiongelea role profile yako bila matokeo yanayotegemewa ni bure
Uhuru wa Tanganyika tuliupata 1961. Njoo tuungane pamoja kudai Uhuru wa Tanzania unaoshikiliwa na mkoloni mweusi CCM.
 
Zitto ni ndumilakuwili
 
sio waaminifu mngekaa huko mngejua mengi.kigoma wengi wao ni wasaliti na pia wanapenda sana madaraka.sifa nyingine wakipata madaraka si waaminifu bali hujijali wenyewe kuliko watu wengine.ni watu ambao ni double standard na wanaongoza kwa fitina na kupenda mabifu na ni wabaguzi.
 
Mnafiki tu.
 
waliosusa wote akili zero.hawana concrete plan,yaani uwezo wa akili zao hapo ndo mwisho ,kususa!! ha ha ha .mtu wa namna hiyo siku mkimpq dhamana ya urais,anaweza kuja kususa kuingia ikulu,kisa mkewe kamnyma unyumba. opposition parties learn to challenge with concrete opinions/plans ,mnajidharaulisha wenyewe ,halafu mwsho wa sku mnasingiziwa mmeibiwa kura.
 
Zitto ni kiongozi wa chama chenye maono na malengo mbalimbali ya kisiasa. Kwani lazima vyama vyote vya upinzani viwazo wazo lenye kufanana wazee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…