Siku zote nilikuwa najua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani

Mnatia huruma sana.

Kwahiyo mnajisifia umasikini? Magufuli amejilimbikizia mali gani?

Kuna shida gani kujenga miundombinu Tanzania ikiwemo kuongeza majiji na kujenga uwanja wa ndege?

Kuna shida gani kuhakikisha Watanzania wanafaidika na rasilimali zao ikiwemo madini?

Mnataka tuendelee kuwa nchi masikini mpaka lini?

Shame on you.
 
Hili swala la kuitana wasaliti ni ufala,wangapi waliunga juhudi mkono,Wakina Slaa waliwaita wasaliti sana wenzao leo wako wap?nyinyi mususesuse tu mwisho wa siku mutashtukia 2025 uchaguzi.
 
Unataka tupindue serikali ili ujue tupo au unaleta unafiki tu ili upate "LIKE" tu ?
hicho unachowaza ni ndoto za mchana mtabaki kuwa wapinzani milele na haijulikani mnadai uhuru gani ambao hamuuoni nyie ni wendawazimu pindueni kama nyie ni wtu kweli mkishindwa nyie ni ndezi tu
 
Mwaka 2015 baada ya wapinzani wote kususia uzinduzi wa bunge kupinga kunyang'anywa ushindi Maalim Seif , ni Zitto Pekee aliyesalia kwenye bunge lile
Na alishawahi kukamatwa mara moja tu na polisi. Tena sijui case yake uliishia wapi
 
Hili swala la kuitana wasaliti ni ufala,wangapi waliunga juhudi mkono,Wakina Slaa waliwaita wasaliti sana wenzao leo wako wap?nyinyi mususesuse tu mwisho wa siku mutashtukia 2025 uchaguzi.
Wala hujalazimishwa kumuita mtu msaliti mkuu. Wanaowaita wasaliti wanahoja zao. Sio sawa kuwaita mafala.
Asante kwa kusoma
 
Hapa ndipo uwa mnanishangaza. Mnataka demokrasia lakini hamtaki watu wafanye yao. Zitto ana chama chake na kinafanya kinavyoona inafaa. Mnataka afuate mnavyoona nyinyi?
Kuna kipindi aligoma kwenda kwenye mkutano mwanza kipindi cha JPM, mbowe proj J na Sugu wakaenda, sikuona kama humu mlisema siyo wapinzani.
Mwache zitto aendeshe siasa zake kwa jinsi anavyoona inafaa. Ndiyo maana alianzisha chama chake.
 
toka lini ukaupenda upinzani?
 
Unataka tupindue serikali ili ujue tupo au unaleta unafiki tu ili upate "LIKE" tu ?
Upinzani ulifanywa na kina Mkwawa Enyi wakwavi na mabwanyenye, wanaofanya upinzani wa kweli waliitwa Magaidi wale kule UAMSHO Leo kijana opportunist unajiita Mpinzani? Kwa lipi?
 
Mbowe hadi leo yuko ndani na hakuna wanachama wa chadema wamefanya lolote kuonyesha umoja wao kwa mwenyekiti wao kitaifa zaidi ya wale washirika wake wa karibu, tena wenye maslahi mapana wanaoonekana mitandaoni na mahakamani kwa uchache
Haufuatili alafu unatoa conclusion pita chadema Tv kule youtube uone harambee, maombi, na mobilization ya wananchama kanda zote juu ya suala la Mbowe.

Tuwe tunatafuta facts kabla ya kuongea kwa hisia
 
ACT ni chama tawala kilochounda serilai ya pamoja na chama cha CCM hapa Tanzania. Kwa hiyo Mzee Zitto akifika Zanzibar kimurimuri kwa mbele.
 
Yaani huoni hata urafiki wa January na Zitto?
Jamaa anaweza kuwa na PhD ya unafiki,ndo maana alishindwa kuelewana na JPM.
Jamaa zake ni Msoga,na Sasa anajaribu kwa wakojani.
 
Yaan naww ni mmoja wa wale mlikua mnaamishwa kua donor country? Issue ya kusema rais wa wanyonge na kuwaweka barabaran ile ilikua ni kutafuta popularity mzee!! Kwa kipind chote nambie uchumi ulikua kwa asilimia ngap? Then turud this year on march kwa walewale walivyotueleza tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ