macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kabisa. Wengi ni wale walioingia kwenye siasa kwa zali au kwa nguvu ya kupindua matokeo halali. Hawa watu ni nuksi sana hawa kwani wanajua hawawezi ushindani wa halali.Hao wapambe ndio aliowazungumzia Nyerere kipindi anataka kung'atuka wakawa wanamwambia mzee endelea bdo kumbe mitumbo yao ndio walitaka waendelee kushiba
Uzi una logic sanaTokea mwaka 2005 hadi sasa ( Leo ) karibia 99% ya Watu wanaoteuliwa kuwa Mabalozi na Marais wa Nyakati hizo ( hizi ) ni Watu very incompetent, wana IQ ndogo na Failures pia katika Nafasi walizokuwa.
Halafu ni nani aliyetulisha Sumu ya Upumbavu na Ushamba kuwa kila Mtanzania anaweza kuwa Balozi ( Diplomat ) kiasi cha Kuwateua Kizembe, Kipuuzi na kwa Kulindana tu?
Mabalozi ambao GENTAMYCINE nawaheshimu na nawakubali ni wale tu Walioteuliwa na Marais Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi na Hayati Mkapa ila kuanzia Awamu zilizofuatia Wote siwakubali na hawakustahili kabisa Kuteuliwa kuwa Mabalozi ama wa Vituo ( Nchi ) husika au wa Heshima.
Nyerere na Mkapa walikuwa Wakimteua Mtu kuwa Balozi jua ya kwamba huyo Mtu Kwanza ni very Intelligent lakini pia hata Idara ( TISS ) imeshamfanyia Screening ya kutosha na Kujiridhisha nae tofauti na ilivyo sasa.
Haingii Akilini unamtumbua Mtu katika Nyadhifa yake hapa Tanzania kwa Makosa ya Uhuni kwa Mwanaume / Umalaya kwa Mwanamke au kwa Rushwa ( Ufisadi ) au kwa Mauwaji ( Ukatili ) au kwa Kunyanyasa Watu halafu hapo hapo bila hata Chembe ya Aibu unamteua kuwa Balozi nchi fulani. Kwahiyo mnawateua waende huko wakaendeleze haya Madudu yao au vipi? Kama ameshindwa Kujirekebisha hapa Nyumbani Tanzania ndiyo mnategemea aende Kurekebishika huko abroad au overseas kabisa?
Halafu tukiwakosoeni ili Kuwajenga na Kuwafundisha jinsi ya Kufikiri na kufanya Mambo Kiutaratibu, Kiuweledi na Kimaadili mnatuchukia akina GENTAMYCINE na kutukalia Vikao vya Kutusaka mtuwahishe Udongoni.
Kuna vitu Vinakera na havivumiliki kabisa. Sasa ni rasmi na Mimi GENTAMYCINE nataka Mchakato wa Katiba Mpya Tanzania ufanyike haraka na kuwe na Vipengele Viwili Muhimu 1. Mabalozi wawe ni Watu 'Genius' kabisa na 2. Ikitokea Rais anaumwa au Kafa basi Jeshi lishike hatamu kwa Siku 90 tu kisha Taifa lifanye Uchaguzi Mwingine halafu kusiwe na Cheo cha Naibu Rais au hata akiwepo asiwe na Kigezo cha ama kuwa Rais au Kugombea Urais wenyewe.
Acheni kuharibu Hadhi ya Balozi Ok?
🤣🤣🤣🤣Nchi inaongozwa na Mapaka.Mapaka yanateua Mapaka wenzao kuwa mabalozi😁😁😁
View attachment 2298288View attachment 2298289View attachment 2298290
Aya ya mwisho ina point iliyoshibaTokea mwaka 2005 hadi sasa ( Leo ) karibia 99% ya Watu wanaoteuliwa kuwa Mabalozi na Marais wa Nyakati hizo ( hizi ) ni Watu very incompetent, wana IQ ndogo na Failures pia katika Nafasi walizokuwa.
Halafu ni nani aliyetulisha Sumu ya Upumbavu na Ushamba kuwa kila Mtanzania anaweza kuwa Balozi ( Diplomat ) kiasi cha Kuwateua Kizembe, Kipuuzi na kwa Kulindana tu?
Mabalozi ambao GENTAMYCINE nawaheshimu na nawakubali ni wale tu Walioteuliwa na Marais Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi na Hayati Mkapa ila kuanzia Awamu zilizofuatia Wote siwakubali na hawakustahili kabisa Kuteuliwa kuwa Mabalozi ama wa Vituo ( Nchi ) husika au wa Heshima.
Nyerere na Mkapa walikuwa Wakimteua Mtu kuwa Balozi jua ya kwamba huyo Mtu Kwanza ni very Intelligent lakini pia hata Idara ( TISS ) imeshamfanyia Screening ya kutosha na Kujiridhisha nae tofauti na ilivyo sasa.
Haingii Akilini unamtumbua Mtu katika Nyadhifa yake hapa Tanzania kwa Makosa ya Uhuni kwa Mwanaume / Umalaya kwa Mwanamke au kwa Rushwa ( Ufisadi ) au kwa Mauwaji ( Ukatili ) au kwa Kunyanyasa Watu halafu hapo hapo bila hata Chembe ya Aibu unamteua kuwa Balozi nchi fulani. Kwahiyo mnawateua waende huko wakaendeleze haya Madudu yao au vipi? Kama ameshindwa Kujirekebisha hapa Nyumbani Tanzania ndiyo mnategemea aende Kurekebishika huko abroad au overseas kabisa?
Halafu tukiwakosoeni ili Kuwajenga na Kuwafundisha jinsi ya Kufikiri na kufanya Mambo Kiutaratibu, Kiuweledi na Kimaadili mnatuchukia akina GENTAMYCINE na kutukalia Vikao vya Kutusaka mtuwahishe Udongoni.
Kuna vitu Vinakera na havivumiliki kabisa. Sasa ni rasmi na Mimi GENTAMYCINE nataka Mchakato wa Katiba Mpya Tanzania ufanyike haraka na kuwe na Vipengele Viwili Muhimu 1. Mabalozi wawe ni Watu 'Genius' kabisa na 2. Ikitokea Rais anaumwa au Kafa basi Jeshi lishike hatamu kwa Siku 90 tu kisha Taifa lifanye Uchaguzi Mwingine halafu kusiwe na Cheo cha Naibu Rais au hata akiwepo asiwe na Kigezo cha ama kuwa Rais au Kugombea Urais wenyewe.
Acheni kuharibu Hadhi ya Balozi Ok?
Akhsante Mkuu wangu. Tuko pamoja.Uzi una logic sana
Tokea mwaka 2005 hadi sasa ( Leo ) karibia 99% ya Watu wanaoteuliwa kuwa Mabalozi na Marais wa Nyakati hizo ( hizi ) ni Watu very incompetent, wana IQ ndogo na Failures pia katika Nafasi walizokuwa.
Halafu ni nani aliyetulisha Sumu ya Upumbavu na Ushamba kuwa kila Mtanzania anaweza kuwa Balozi ( Diplomat ) kiasi cha Kuwateua Kizembe, Kipuuzi na kwa Kulindana tu?
Mabalozi ambao GENTAMYCINE nawaheshimu na nawakubali ni wale tu Walioteuliwa na Marais Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi na Hayati Mkapa ila kuanzia Awamu zilizofuatia Wote siwakubali na hawakustahili kabisa Kuteuliwa kuwa Mabalozi ama wa Vituo ( Nchi ) husika au wa Heshima.
Nyerere na Mkapa walikuwa Wakimteua Mtu kuwa Balozi jua ya kwamba huyo Mtu Kwanza ni very Intelligent lakini pia hata Idara ( TISS ) imeshamfanyia Screening ya kutosha na Kujiridhisha nae tofauti na ilivyo sasa.
Haingii Akilini unamtumbua Mtu katika Nyadhifa yake hapa Tanzania kwa Makosa ya Uhuni kwa Mwanaume / Umalaya kwa Mwanamke au kwa Rushwa ( Ufisadi ) au kwa Mauwaji ( Ukatili ) au kwa Kunyanyasa Watu halafu hapo hapo bila hata Chembe ya Aibu unamteua kuwa Balozi nchi fulani. Kwahiyo mnawateua waende huko wakaendeleze haya Madudu yao au vipi? Kama ameshindwa Kujirekebisha hapa Nyumbani Tanzania ndiyo mnategemea aende Kurekebishika huko abroad au overseas kabisa?
Halafu tukiwakosoeni ili Kuwajenga na Kuwafundisha jinsi ya Kufikiri na kufanya Mambo Kiutaratibu, Kiuweledi na Kimaadili mnatuchukia akina GENTAMYCINE na kutukalia Vikao vya Kutusaka mtuwahishe Udongoni.
Kuna vitu Vinakera na havivumiliki kabisa. Sasa ni rasmi na Mimi GENTAMYCINE nataka Mchakato wa Katiba Mpya Tanzania ufanyike haraka na kuwe na Vipengele Viwili Muhimu 1. Mabalozi wawe ni Watu 'Genius' kabisa na 2. Ikitokea Rais anaumwa au Kafa basi Jeshi lishike hatamu kwa Siku 90 tu kisha Taifa lifanye Uchaguzi Mwingine halafu kusiwe na Cheo cha Naibu Rais au hata akiwepo asiwe na Kigezo cha ama kuwa Rais au Kugombea Urais wenyewe.
Acheni kuharibu Hadhi ya Balozi Ok?
Umenena vyema sina pa kukosa. Jingine anawazibia nafasi wakurugenzi walioandaliwa kwa jukumu hilo la kuwa balozi toka wizara ya mambo ya nje. Na hii inashusha hadhi ya 'Balozi' hasa kipindi hiki cha mama, amefanya uteuzi wa mabalozi kwa, kuwaogopa baada ya 'kuwatumbua'.Najaribu kuonesha ni aina ipi ya vichwa vinapaswa kuteuliwa kuwa balozi na sio kuzoa yeyote yule ilimradi kuonesha ushkaji na kulindana
Kumbe una bwama mightierTokea mwaka 2005 hadi sasa ( Leo ) karibia 99% ya Watu wanaoteuliwa kuwa Mabalozi na Marais wa Nyakati hizo ( hizi ) ni Watu very incompetent, wana IQ ndogo na Failures pia katika Nafasi walizokuwa.
Halafu ni nani aliyetulisha Sumu ya Upumbavu na Ushamba kuwa kila Mtanzania anaweza kuwa Balozi ( Diplomat ) kiasi cha Kuwateua Kizembe, Kipuuzi na kwa Kulindana tu?
Mabalozi ambao GENTAMYCINE nawaheshimu na nawakubali ni wale tu Walioteuliwa na Marais Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi na Hayati Mkapa ila kuanzia Awamu zilizofuatia Wote siwakubali na hawakustahili kabisa Kuteuliwa kuwa Mabalozi ama wa Vituo ( Nchi ) husika au wa Heshima.
Nyerere na Mkapa walikuwa Wakimteua Mtu kuwa Balozi jua ya kwamba huyo Mtu Kwanza ni very Intelligent lakini pia hata Idara ( TISS ) imeshamfanyia Screening ya kutosha na Kujiridhisha nae tofauti na ilivyo sasa.
Haingii Akilini unamtumbua Mtu katika Nyadhifa yake hapa Tanzania kwa Makosa ya Uhuni kwa Mwanaume / Umalaya kwa Mwanamke au kwa Rushwa ( Ufisadi ) au kwa Mauwaji ( Ukatili ) au kwa Kunyanyasa Watu halafu hapo hapo bila hata Chembe ya Aibu unamteua kuwa Balozi nchi fulani. Kwahiyo mnawateua waende huko wakaendeleze haya Madudu yao au vipi? Kama ameshindwa Kujirekebisha hapa Nyumbani Tanzania ndiyo mnategemea aende Kurekebishika huko abroad au overseas kabisa?
Halafu tukiwakosoeni ili Kuwajenga na Kuwafundisha jinsi ya Kufikiri na kufanya Mambo Kiutaratibu, Kiuweledi na Kimaadili mnatuchukia akina GENTAMYCINE na kutukalia Vikao vya Kutusaka mtuwahishe Udongoni.
Kuna vitu Vinakera na havivumiliki kabisa. Sasa ni rasmi na Mimi GENTAMYCINE nataka Mchakato wa Katiba Mpya Tanzania ufanyike haraka na kuwe na Vipengele Viwili Muhimu 1. Mabalozi wawe ni Watu 'Genius' kabisa na 2. Ikitokea Rais anaumwa au Kafa basi Jeshi lishike hatamu kwa Siku 90 tu kisha Taifa lifanye Uchaguzi Mwingine halafu kusiwe na Cheo cha Naibu Rais au hata akiwepo asiwe na Kigezo cha ama kuwa Rais au Kugombea Urais wenyewe.
Acheni kuharibu Hadhi ya Balozi Ok?
Kwa TZ balozi imetumika km sehemu ya kupeleka mtu anayetishia utawala wa kiongozi.
Ubalozi wa TZ ni wa kupeana michongo na ulaji tu.Tokea mwaka 2005 hadi sasa ( Leo ) karibia 99% ya Watu wanaoteuliwa kuwa Mabalozi na Marais wa Nyakati hizo ( hizi ) ni Watu very incompetent, wana IQ ndogo na Failures pia katika Nafasi walizokuwa.