Sikubaliani kabisa na hii Teua Teua ya Balozi kwa kila Mtu, kwani inatuaibisha na inadhalilisha pia Hadhi ya Neno Balozi kwa wenye Akili duniani

Hao wapambe ndio aliowazungumzia Nyerere kipindi anataka kung'atuka wakawa wanamwambia mzee endelea bdo kumbe mitumbo yao ndio walitaka waendelee kushiba
Kabisa. Wengi ni wale walioingia kwenye siasa kwa zali au kwa nguvu ya kupindua matokeo halali. Hawa watu ni nuksi sana hawa kwani wanajua hawawezi ushindani wa halali.
 
Tokea mwaka 2005 hadi sasa ( Leo ) karibia 99% ya Watu wanaoteuliwa kuwa Mabalozi na Marais wa Nyakati hizo ( hizi ) ni Watu very incompetent, wana IQ ndogo na Failures pia katika Nafasi walizokuwa.

Halafu ni nani aliyetulisha Sumu ya Upumbavu na Ushamba kuwa kila Mtanzania anaweza kuwa Balozi ( Diplomat ) kiasi cha Kuwateua Kizembe, Kipuuzi na kwa Kulindana tu?

Mabalozi ambao GENTAMYCINE nawaheshimu na nawakubali ni wale tu Walioteuliwa na Marais Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi na Hayati Mkapa ila kuanzia Awamu zilizofuatia Wote siwakubali na hawakustahili kabisa Kuteuliwa kuwa Mabalozi ama wa Vituo ( Nchi ) husika au wa Heshima.

Nyerere na Mkapa walikuwa Wakimteua Mtu kuwa Balozi jua ya kwamba huyo Mtu Kwanza ni very Intelligent lakini pia hata Idara ( TISS ) imeshamfanyia Screening ya kutosha na Kujiridhisha nae tofauti na ilivyo sasa.

Haingii Akilini unamtumbua Mtu katika Nyadhifa yake hapa Tanzania kwa Makosa ya Uhuni kwa Mwanaume / Umalaya kwa Mwanamke au kwa Rushwa ( Ufisadi ) au kwa Mauwaji ( Ukatili ) au kwa Kunyanyasa Watu halafu hapo hapo bila hata Chembe ya Aibu unamteua kuwa Balozi nchi fulani. Kwahiyo mnawateua waende huko wakaendeleze haya Madudu yao au vipi? Kama ameshindwa Kujirekebisha hapa Nyumbani Tanzania ndiyo mnategemea aende Kurekebishika huko abroad au overseas kabisa?

Halafu tukiwakosoeni ili Kuwajenga na Kuwafundisha jinsi ya Kufikiri na kufanya Mambo Kiutaratibu, Kiuweledi na Kimaadili mnatuchukia akina GENTAMYCINE na kutukalia Vikao vya Kutusaka mtuwahishe Udongoni.

Kuna vitu Vinakera na havivumiliki kabisa. Sasa ni rasmi na Mimi GENTAMYCINE nataka Mchakato wa Katiba Mpya Tanzania ufanyike haraka na kuwe na Vipengele Viwili Muhimu 1. Mabalozi wawe ni Watu 'Genius' kabisa na 2. Ikitokea Rais anaumwa au Kafa basi Jeshi lishike hatamu kwa Siku 90 tu kisha Taifa lifanye Uchaguzi Mwingine halafu kusiwe na Cheo cha Naibu Rais au hata akiwepo asiwe na Kigezo cha ama kuwa Rais au Kugombea Urais wenyewe.

Acheni kuharibu Hadhi ya Balozi Ok?
Uzi una logic sana
 
Aya ya mwisho ina point iliyoshiba
 
Kwa Kweli inashangaza sana!

Kuna vijana wasomi wamebobea kwenye hizo kazi lakini hawapewi nafasi wanakuja kupewa watu ambao wameshatumika na kuchoka!
 
Watu ambao hawana new vision ndio wanapewa hizo nafasi sijui hao washauri watu wa wanajiita wa system ndio wanaopelekea hali hiyo kweli?

Inamaana gani sasa?!

Totally demotivating!
 
Wanaenda kusoma gazette na kunywa kahawa ofisini. Hii nchi unaweza tukana ukaishia kukabidhiwa kwa kina kingai
 
Kwa hili umegonga ndipo!

Hii teuzi ya juzi.. ya sele dodo..yaani kuleeh..imeacha watu hoi.. .. huyu bi ... Anawajua vizuri anao wateua na Ana sababu zake.. dah!

Tutafika tu ..japokuwa tutakuwa tumechoka Sana..!

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Tokea mwaka 2005 hadi sasa ( Leo ) karibia 99% ya Watu wanaoteuliwa kuwa Mabalozi na Marais wa Nyakati hizo ( hizi ) ni Watu very incompetent, wana IQ ndogo na Failures pia katika Nafasi walizokuwa.

Halafu ni nani aliyetulisha Sumu ya Upumbavu na Ushamba kuwa kila Mtanzania anaweza kuwa Balozi ( Diplomat ) kiasi cha Kuwateua Kizembe, Kipuuzi na kwa Kulindana tu?

Mabalozi ambao GENTAMYCINE nawaheshimu na nawakubali ni wale tu Walioteuliwa na Marais Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi na Hayati Mkapa ila kuanzia Awamu zilizofuatia Wote siwakubali na hawakustahili kabisa Kuteuliwa kuwa Mabalozi ama wa Vituo ( Nchi ) husika au wa Heshima.

Nyerere na Mkapa walikuwa Wakimteua Mtu kuwa Balozi jua ya kwamba huyo Mtu Kwanza ni very Intelligent lakini pia hata Idara ( TISS ) imeshamfanyia Screening ya kutosha na Kujiridhisha nae tofauti na ilivyo sasa.

Haingii Akilini unamtumbua Mtu katika Nyadhifa yake hapa Tanzania kwa Makosa ya Uhuni kwa Mwanaume / Umalaya kwa Mwanamke au kwa Rushwa ( Ufisadi ) au kwa Mauwaji ( Ukatili ) au kwa Kunyanyasa Watu halafu hapo hapo bila hata Chembe ya Aibu unamteua kuwa Balozi nchi fulani. Kwahiyo mnawateua waende huko wakaendeleze haya Madudu yao au vipi? Kama ameshindwa Kujirekebisha hapa Nyumbani Tanzania ndiyo mnategemea aende Kurekebishika huko abroad au overseas kabisa?

Halafu tukiwakosoeni ili Kuwajenga na Kuwafundisha jinsi ya Kufikiri na kufanya Mambo Kiutaratibu, Kiuweledi na Kimaadili mnatuchukia akina GENTAMYCINE na kutukalia Vikao vya Kutusaka mtuwahishe Udongoni.

Kuna vitu Vinakera na havivumiliki kabisa. Sasa ni rasmi na Mimi GENTAMYCINE nataka Mchakato wa Katiba Mpya Tanzania ufanyike haraka na kuwe na Vipengele Viwili Muhimu 1. Mabalozi wawe ni Watu 'Genius' kabisa na 2. Ikitokea Rais anaumwa au Kafa basi Jeshi lishike hatamu kwa Siku 90 tu kisha Taifa lifanye Uchaguzi Mwingine halafu kusiwe na Cheo cha Naibu Rais au hata akiwepo asiwe na Kigezo cha ama kuwa Rais au Kugombea Urais wenyewe.

Acheni kuharibu Hadhi ya Balozi Ok?

Naona wana rambishana tu asali
 
Najaribu kuonesha ni aina ipi ya vichwa vinapaswa kuteuliwa kuwa balozi na sio kuzoa yeyote yule ilimradi kuonesha ushkaji na kulindana
Umenena vyema sina pa kukosa. Jingine anawazibia nafasi wakurugenzi walioandaliwa kwa jukumu hilo la kuwa balozi toka wizara ya mambo ya nje. Na hii inashusha hadhi ya 'Balozi' hasa kipindi hiki cha mama, amefanya uteuzi wa mabalozi kwa, kuwaogopa baada ya 'kuwatumbua'.
 
Very true ndio maana vijana wengi wanakulia pale foreign na wanakuwa groomed kisawasawa then wanakuja kupewa hizo nafasi hii inamaana lazima waive na wajue mambo ya kidiplomasia kwa mapana yake, haiingii akilini kila takataka lililoshindikana humu nchini ndio linatupwa kuwa balozi huu ni uhuni wa kiwango cha lami kabisa. Naunga mkono hoja balozi sio nafasi za failures.
 
Mheshimiwa balozi popoma nakuunga mkono katika hili.
Unakuta MTU ana damu mikononi au mbadhirifu kupindukia halafu anakwenda kuchafua nchi kwa ukilaza wake wakati huo huo kule nje anaitwa mheshimiwa balozi.
Kule nje tukipeleka Malaya, wezi, wauaji na vilaza, raia wa kule wanajua kwamba if this is their best, then waliobaki huko tz ni over vilaza.
 
Tokea mwaka 2005 hadi sasa ( Leo ) karibia 99% ya Watu wanaoteuliwa kuwa Mabalozi na Marais wa Nyakati hizo ( hizi ) ni Watu very incompetent, wana IQ ndogo na Failures pia katika Nafasi walizokuwa.

Halafu ni nani aliyetulisha Sumu ya Upumbavu na Ushamba kuwa kila Mtanzania anaweza kuwa Balozi ( Diplomat ) kiasi cha Kuwateua Kizembe, Kipuuzi na kwa Kulindana tu?

Mabalozi ambao GENTAMYCINE nawaheshimu na nawakubali ni wale tu Walioteuliwa na Marais Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi na Hayati Mkapa ila kuanzia Awamu zilizofuatia Wote siwakubali na hawakustahili kabisa Kuteuliwa kuwa Mabalozi ama wa Vituo ( Nchi ) husika au wa Heshima.

Nyerere na Mkapa walikuwa Wakimteua Mtu kuwa Balozi jua ya kwamba huyo Mtu Kwanza ni very Intelligent lakini pia hata Idara ( TISS ) imeshamfanyia Screening ya kutosha na Kujiridhisha nae tofauti na ilivyo sasa.

Haingii Akilini unamtumbua Mtu katika Nyadhifa yake hapa Tanzania kwa Makosa ya Uhuni kwa Mwanaume / Umalaya kwa Mwanamke au kwa Rushwa ( Ufisadi ) au kwa Mauwaji ( Ukatili ) au kwa Kunyanyasa Watu halafu hapo hapo bila hata Chembe ya Aibu unamteua kuwa Balozi nchi fulani. Kwahiyo mnawateua waende huko wakaendeleze haya Madudu yao au vipi? Kama ameshindwa Kujirekebisha hapa Nyumbani Tanzania ndiyo mnategemea aende Kurekebishika huko abroad au overseas kabisa?

Halafu tukiwakosoeni ili Kuwajenga na Kuwafundisha jinsi ya Kufikiri na kufanya Mambo Kiutaratibu, Kiuweledi na Kimaadili mnatuchukia akina GENTAMYCINE na kutukalia Vikao vya Kutusaka mtuwahishe Udongoni.

Kuna vitu Vinakera na havivumiliki kabisa. Sasa ni rasmi na Mimi GENTAMYCINE nataka Mchakato wa Katiba Mpya Tanzania ufanyike haraka na kuwe na Vipengele Viwili Muhimu 1. Mabalozi wawe ni Watu 'Genius' kabisa na 2. Ikitokea Rais anaumwa au Kafa basi Jeshi lishike hatamu kwa Siku 90 tu kisha Taifa lifanye Uchaguzi Mwingine halafu kusiwe na Cheo cha Naibu Rais au hata akiwepo asiwe na Kigezo cha ama kuwa Rais au Kugombea Urais wenyewe.

Acheni kuharibu Hadhi ya Balozi Ok?
Kumbe una bwama mightier
 
Ubalozi wa TZ ni wa kupeana michongo na ulaji tu.

Kuna watu wanapewa ubalozi baada ya kuonekana hapa nchini hawawezi fanya chochote.
 
Back
Top Bottom