Sikubaliani na jinsi Rais Samia anavyofanya Teuzi, na zitakuja kumfanya kujuta baadaye

Status
Not open for further replies.
Nimesoma nimeishia hapa!! Aliyekwambia wanasiasa wanatafuta hela nani? Watu wanatafuta power. Mbona hushangai kina Tarimba au Gwajima mabilionea kwenda bungeni kupokea 21 million!! Au Manji licha ya kuwa billionaire alikua diwani.

Power ndio inayotafutwa kama pesa tayari Maharage anayo.
 
Mimi niko kinyume kidogo na ninyi.

Mimi ninamlaani Mbowe.

Chadema imeaminiwa na Watanzania wengi, ilitosha kumpa sauti kubwa kukemea au hata kuita maandamano lkn badala yake aneungana na watesi wetu.

Upinzani imara huifanya serikali kuwajibika
Lini Mbowe ameungana na watesi? Angepoteza muda kuzunguka nchi nzima kudai katiba na kupinga ukodishwaji bandari? U can't be serious
 
upigaji mkubwa sana, katika billion 300 iliyotengwa basi kuna 42,168,000,000 Yaan Bilion 42 zimeshaelekea Kibra
These are serious allegations, yaani CAG asione ufisadi huu wa 42 B ila a nobody aliyepo JF ndio unajua? Hivi si ndio wewe ulidai una ushahidi kuwa Baraza kuu haliwezi kuwafukuza Mdee na wenzie? Na ukaahidi kufuta account yako?

You've always been a fraud tokea enzi za JPM, huna unalojua zaidi ya speculations tu ni Bora ufuate ahadi Yako ya kujiondoa JF maana ni mpotoshaji.
 
Signal na frequency zote zinasoma toka msoga masikini mama anaendaenda tu had huruma
 
Wakati wa hayati MAGUFURI NILIKUWA NAWAZA MITANO NI MINGI MNOO LAKIN SA HIZ NAWAZA MAMA AKISHINDA 2025 MITANO YAKE ITAKUWA MING ZAID MANA KUCHEZEA UMEME KUNA UA TABAKA LA KAT LA WATU WANAOJIAJIRI.
 
What if she is afraid of them?
Sidhani kama anawaogopa kwa maana ya kuwaogopa bali nahisi ameegemea kwenye malengo ya kukalia kwenye uchaguzi ujao.....na hao jamaa ni watu wa mikakati na mipango ya goli la mkono......Kwa hivyo kwa kadri siku zinavyokwenda ndio anazidi kuwahitaji zaidi.....
 
Mimi niko kinyume kidogo na ninyi.

Mimi ninamlaani Mbowe.

Chadema imeaminiwa na Watanzania wengi, ilitosha kumpa sauti kubwa kukemea au hata kuita maandamano lkn badala yake aneungana na watesi wetu.

Upinzani imara huifanya serikali kuwajibika
Mkuu fungua akili.
CHADEMA na CCM hii lao moja.
Walipiga kelele walipobanwa na Magufuli.
Pia rejea walivyotuuza 2015
 
Maxence Melo futa na hii.
 
Mimi namshangaa mama na hotuba zake za uapisho. Hivi hana maagizo ya maana ya kuadress issues zaidi ya blaa blaa za kwanini amefanya utenguzi na uteuzi? Hadi anafika pale hajapata wisdom ya namna ya kutoa hotuba? Kwanini Mkuu wa Nchi ajitetee anapomtengua mtu? Hajui yeye amesimama kama mamlaka ya juu ya nchi? Supreme power and authority anayo yeye just second to Katiba(ikiheshimiwa).
 
Bajeti ya ziada ya uchaguzi mwakani tutatoa wapi kada mwenzangu
 
toa upuuzi wako hapa wewe ! Unataka kusema wamefukuzwa? Kumbe huna akili Kama dalali na jina utumialo
 
Fedha inayotumika kwenye mradi wa stiglers gouge ingeelekezwa kwenye umeme wa gesi tungeshaondokana na hili jinamizi la mgawo wa umeme. Ni kweli umeme utakaofuliwa hapo stiglers utakuwa mwingi na wa kutosha lakini pindi kukiwa na ukame wa muda mrefu tatizo litakuwa palepale.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…