Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Tutafika tumechoka sanaUlijidanganya sana, maana kwa mfumo tulionao tulisha comment humu kwamba mwendo wetu ni hatua tano mbele halafu sita nyuma. Kama unakumbuka vizuri mwenyewe JPM aliwahi kukiri hadharani kwamba kuna makaburi mengine yamemshinda kufukua. Sasa kama yapo yaliyomshinda JPM unadhani yupo aliye hai?