Sikubaliani na jinsi Rais Samia anavyofanya Teuzi, na zitakuja kumfanya kujuta baadaye

Sikubaliani na jinsi Rais Samia anavyofanya Teuzi, na zitakuja kumfanya kujuta baadaye

Status
Not open for further replies.
Asipoachia uenyekiti cdm itadumaa, amefikia ukomo.

Mikutano yako haisisimui tena japo anatumia chopa.

Lissu hata akitembea kwa miguu ni habari ya mjini
Bosi issue iliyopo mezani ni nchi kutafunwa na wanaCCM. January Makamba na Maharage wakatolewa kama kielelezo, iweje wewe unakuja na hoja ya mkutano ya CDM? Hiyo mikutano ya CDM nayo inatafuna hela?
 
Niukweli mna chuki na rais asiye wa imani yenu,na cha ajabu wa imani yenu sababu ya roho mbaya huwa hawadumu kwenye ardhi

Inferiority complex inakusumbueni,hii nchi ni yetu sote pigeni kazi kwaajili ya watanzania,fisadi hana dini.

Ni mpuuzi tu anayeleta hoja za udini kwenye kuwstumikia wa tanzania
 
Bosi issue iliyopo mezani ni nchi kutafunwa na wanaCCM. January Makamba na Maharage wakatolewa kama kielelezo, iweje wewe unakuja na hoja ya mkutano ya CDM? Hiyo mikutano ya CDM nayo inatafuna hela?
Unajuwa wajibu wa chama cha upinzani?
Ujiona ufisadi unatamslski ujue fika upinzani umelala
 
Kitu nilichoshindwa kuelewa had leo,Maharage aliteuliwa na January lakini kabadilishwa na Samia....apo kidogo nimekuwa confused.....haya mambo yanayotokea huwezi shangaa kama ulishafanya kazi na boss wako ni Mwanamama na amepata hicho cheo by favour or chance tu na wala sio uwezo wake....kama hana maono hiyo taasisi/kampuni au chochote anachokiongoza kama hajawahiwa lazima kiingie kaburini
Amepata nafasi ya 'Urais' by default baada ya mwenye nafasi husika kufariki akiwa madarakani hivyo kwa mjibu wa katiba akaangukia hapo; sio bahati au chance kama ulivyoweka hapo juu rekebisha.
 
kakwambia uje kwenye uzi wangu ? Tatizo we zitto na makamba au AcT ikiguswa makamba mnakuwa wakali na Siri naijua
Uzi wako? Yaani unapost kwenye public hutaki tukosoe upotoshaji?
Pili Nani kakwambia CAG anamulika hayo yote bwana mdogo

CAG alikuwa wapi zinapigwa Pesa za kupelekwa China ? Umewahi ongelea poppte?
Punguza utoto, CAG ndio wa kwanza kusema pesa za plea bargain zililipwa ila zilikosa pa kuelekezwa!! So obvious zilipigwa na hata akashauri DPP alifanyie kazi na pia bunge itungie sheria wapi hizo pesa ziende. So sio kweli hakuzungumzia Hilo.

CAG alikuwa wapi zinapigwa bilion 256 kwenye ujenzi Mwaka 2014?

CAG alikuwa wapi Zinatoroshwa Pesa Kwenda AFRIKA kusini na mkubwa mmoja ?
Sio kweli mara zote CAG amekua akiweka querry pesa isipoonekana Sasa whether ilienda Sauzi au China is another case ila yeye anachofanya anaangalia pesa iliyotolewa against the expenditure. Ndio maana akaona discrepancy ya almost trillion 1.2 enzi za JPM kuwa haikupita mfuko mkuu ila whether ilifanya kazi husika au ililiwa isio kazi ya CAG ila bunge na FIU!!
Unaitaji kuwa na akili kubwa kukabiliana na nayoyasema

La sivyo utatoka juu juu
Hata asiye na akili kubwa anajua we ni muongo, ulisema una uhakika Mbowe ni gaidi na atafungwa..... Then ukadai una intelijensia kuwa Mdee atasamehewa coz Mbowe kaingia deal na Samia.

Haya yote ilikuja fahamika ni uongo alafu unadiriki kujiita akili kubwa?
 
Kutokana na mamlaka aliyopewa na wananchi na katiba yetu hana cha kupoteza wala kuwajibika kwa yeyote. Tutulie tuu ngwe yake iishe akale pensheni.
 
Amepata nafasi ya 'Urais' by default baada ya mwenye nafasi husika kufariki akiwa madarakani hivyo kwa mjibu wa katiba akaangukia hapo; sio bahati au chance kama ulivyoweka hapo juu rekebisha.
Ndio bahati hyo...ina maana Magu asingefariki asingeipata
 
Vetting ni ama haipo au inampotosha mama,
Nadhani muda wa kumtetea kwenye hili umefikia tamati. Ana miaka zaidi ya miwili in power, mpaka sasa alitakiwa awe ashafigure out. Ila hana power, hakuna kitu atafanya. Ni kama mwanasesere anayechezeshwa tu. 2025 atupishe aisee, hatuwezi kwenda hadi 2030 namna hii na rais hana final say
 
Sema watanzania tungejitambua ilitakiwa na huyo mkuu angetenguliwa kwa maslahi mapana ya Taifa
 
Sikuwahi kufikiria kwamba baada ya JPM ipo siku tutaingia gizani tena
Ulijidanganya sana, maana kwa mfumo tulionao tulisha comment humu kwamba mwendo wetu ni hatua tano mbele halafu sita nyuma. Kama unakumbuka vizuri mwenyewe JPM aliwahi kukiri hadharani kwamba kuna makaburi mengine yamemshinda kufukua. Sasa kama yapo yaliyomshinda JPM unadhani yupo aliye hai?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom