Sikubaliani na jinsi Rais Samia anavyofanya Teuzi, na zitakuja kumfanya kujuta baadaye

Status
Not open for further replies.
Dawa pekee kwa sasa ya kuondokana na huu uozo uliokithiri, ni kuliua tu Joka la kijani [emoji216] kwa kuliponda kichwa. Hakuna kitu kingine cha kuweza kuliokoa Taifa kuangamizwa na hilo Joka.
.
 
toa upuuzi wako hapa wewe ! Unataka kusema wamefukuzwa? Kumbe huna akili Kama dalali na jina utumialo
Substantiate your claims kama JF ya kale, huwezi amka asubuhi tu umeshiba maandazi unaandika 42 B Imeibiwa!! Ilihali CAG hajaona hilo.

We si ndio ulikua unadai Mbowe anakula hera za ruzuku na pia uliwahi kudai apa kwamba una ushahidi kuwa ni gaidi kweli? ila Kila mara unaumbuka kwa uongo wako.

Hatutaki fake news JF, we need facts sio hearsay za kuchafuana.
 
Usipokuwa mtu muovu, mpiga dili, mwivi, muongo, hamnazo hakika hupati nafasi ndani ya CCM.

Angalia backgrounds za wateule wengi utakubaliana nami.

Je mteuzi ana wasifu wa kuaminiwa kupitia teuzi zake!?
 
Nani kakwambia uje kwenye uzi wangu ? Tatizo we zitto na makamba au AcT ikiguswa makamba mnakuwa wakali na Siri naijua

Pili Nani kakwambia CAG anamulika hayo yote bwana mdogo

CAG alikuwa wapi zinapigwa Pesa za kupelekwa China ? Umewahi ongelea poppte?

CAG alikuwa wapi zinapigwa bilion 256 kwenye ujenzi Mwaka 2014?

CAG alikuwa wapi Zinatoroshwa Pesa Kwenda AFRIKA kusini na mkubwa mmoja ?

Dogo CSG is toothless man

Unaitaji kuwa na akili kubwa kukabiliana na nayoyasema

La sivyo utatoka juu juu
 
CEO wa posta yuko masomoni kazi yake anapewa maharage. Badala ya kutemwa mtu mwenye record yake nzuri anaondolewa kwa sababu ya mpiga dili. Januari pia alitakiwa kurudi back bencher bungeni.
mama yenu huyo sio la kufa....
 
Wagalatia mmewai kusifia lipi la samia wapuuzi nyie!? Acheni chuki zenu za kijinga
 
Wai chattle kalinde kaburi
 
Nashangaa bado unaendelea kujinadi ccm damdam, sijui nini kimewafunga ccm?
 
Niseme tu kuwa sa100 Ni completely empty seti hazimo kbsa nimeogopa San Mambo yanayo yafanya bila kuogopa
 
Kumbe Ni mpotoshaji asije niwekea chuki bila mm kujuwa
 
Mimi niko kinyume kidogo na ninyi.

Mimi ninamlaani Mbowe.

Chadema imeaminiwa na Watanzania wengi, ilitosha kumpa sauti kubwa kukemea au hata kuita maandamano lkn badala yake aneungana na watesi wetu.

Upinzani imara huifanya serikali kuwajibika
Nami naongezea hapo, alaaniwe mbowe tena nikiwa nimevua nguo, kwa haya yanayoendelea nchini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…