Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Niukweli mna chuki na rais asiye wa imani yenu,na cha ajabu wa imani yenu sababu ya roho mbaya huwa hawadumu kwenye ardhiSikuwahi kufirikiria kama jf na watu wapuuzi kama wewe huwa mnajiunga,
Bosi issue iliyopo mezani ni nchi kutafunwa na wanaCCM. January Makamba na Maharage wakatolewa kama kielelezo, iweje wewe unakuja na hoja ya mkutano ya CDM? Hiyo mikutano ya CDM nayo inatafuna hela?Asipoachia uenyekiti cdm itadumaa, amefikia ukomo.
Mikutano yako haisisimui tena japo anatumia chopa.
Lissu hata akitembea kwa miguu ni habari ya mjini
Niukweli mna chuki na rais asiye wa imani yenu,na cha ajabu wa imani yenu sababu ya roho mbaya huwa hawadumu kwenye ardhi
Unajuwa wajibu wa chama cha upinzani?Bosi issue iliyopo mezani ni nchi kutafunwa na wanaCCM. January Makamba na Maharage wakatolewa kama kielelezo, iweje wewe unakuja na hoja ya mkutano ya CDM? Hiyo mikutano ya CDM nayo inatafuna hela?
Amepata nafasi ya 'Urais' by default baada ya mwenye nafasi husika kufariki akiwa madarakani hivyo kwa mjibu wa katiba akaangukia hapo; sio bahati au chance kama ulivyoweka hapo juu rekebisha.Kitu nilichoshindwa kuelewa had leo,Maharage aliteuliwa na January lakini kabadilishwa na Samia....apo kidogo nimekuwa confused.....haya mambo yanayotokea huwezi shangaa kama ulishafanya kazi na boss wako ni Mwanamama na amepata hicho cheo by favour or chance tu na wala sio uwezo wake....kama hana maono hiyo taasisi/kampuni au chochote anachokiongoza kama hajawahiwa lazima kiingie kaburini
Ona sasa mnaingiza udiniWagalatia mmewai kusifia lipi la samia wapuuzi nyie!? Acheni chuki zenu za kijinga
We pambana na Viagra kwanza kijanaJaribuni tuwafute magaidi nyie
Ukiona wakubwa wametulia tuli, hawapigi kelele kama enzi za JPM jua kuwa nchi inaliwa.
Uzi wako? Yaani unapost kwenye public hutaki tukosoe upotoshaji?kakwambia uje kwenye uzi wangu ? Tatizo we zitto na makamba au AcT ikiguswa makamba mnakuwa wakali na Siri naijua
Punguza utoto, CAG ndio wa kwanza kusema pesa za plea bargain zililipwa ila zilikosa pa kuelekezwa!! So obvious zilipigwa na hata akashauri DPP alifanyie kazi na pia bunge itungie sheria wapi hizo pesa ziende. So sio kweli hakuzungumzia Hilo.Pili Nani kakwambia CAG anamulika hayo yote bwana mdogo
CAG alikuwa wapi zinapigwa Pesa za kupelekwa China ? Umewahi ongelea poppte?
Sio kweli mara zote CAG amekua akiweka querry pesa isipoonekana Sasa whether ilienda Sauzi au China is another case ila yeye anachofanya anaangalia pesa iliyotolewa against the expenditure. Ndio maana akaona discrepancy ya almost trillion 1.2 enzi za JPM kuwa haikupita mfuko mkuu ila whether ilifanya kazi husika au ililiwa isio kazi ya CAG ila bunge na FIU!!CAG alikuwa wapi zinapigwa bilion 256 kwenye ujenzi Mwaka 2014?
CAG alikuwa wapi Zinatoroshwa Pesa Kwenda AFRIKA kusini na mkubwa mmoja ?
Hata asiye na akili kubwa anajua we ni muongo, ulisema una uhakika Mbowe ni gaidi na atafungwa..... Then ukadai una intelijensia kuwa Mdee atasamehewa coz Mbowe kaingia deal na Samia.Unaitaji kuwa na akili kubwa kukabiliana na nayoyasema
La sivyo utatoka juu juu
Ndio bahati hyo...ina maana Magu asingefariki asingeipataAmepata nafasi ya 'Urais' by default baada ya mwenye nafasi husika kufariki akiwa madarakani hivyo kwa mjibu wa katiba akaangukia hapo; sio bahati au chance kama ulivyoweka hapo juu rekebisha.
Nadhani muda wa kumtetea kwenye hili umefikia tamati. Ana miaka zaidi ya miwili in power, mpaka sasa alitakiwa awe ashafigure out. Ila hana power, hakuna kitu atafanya. Ni kama mwanasesere anayechezeshwa tu. 2025 atupishe aisee, hatuwezi kwenda hadi 2030 namna hii na rais hana final sayVetting ni ama haipo au inampotosha mama,
Akishuriwa yeye jibu lake ni stupid au nonsense ana kiburi sanahuyu mama ako ndo mbishi akishauriwa hivi yeye anafanya hivi....
amucha isekuuInawezekana upo SAHIHI ila ingependeza kama ungeweka hata na viuthibitisho kidogo, lakini una HOJA,
Ulijidanganya sana, maana kwa mfumo tulionao tulisha comment humu kwamba mwendo wetu ni hatua tano mbele halafu sita nyuma. Kama unakumbuka vizuri mwenyewe JPM aliwahi kukiri hadharani kwamba kuna makaburi mengine yamemshinda kufukua. Sasa kama yapo yaliyomshinda JPM unadhani yupo aliye hai?Sikuwahi kufikiria kwamba baada ya JPM ipo siku tutaingia gizani tena