Sikubaliani na jinsi Rais Samia anavyofanya Teuzi, na zitakuja kumfanya kujuta baadaye

Status
Not open for further replies.
Tutafika tumechoka sana
 
CEO wa posta yuko masomoni kazi yake anapewa maharage. Badala ya kutemwa mtu mwenye record yake nzuri anaondolewa kwa sababu ya mpiga dili. Januari pia alitakiwa kurudi back bencher bungeni.
He
 
Nimearifiwa na duru moja kuwa kuna baadhi ya teuzi anazi "endorse" Abdul au Rostam Aziz ndio mama yenu atie saini..

Hakika mama anaupiga mwingi!

Sema dynasty mbaya in Uhuru Kenyatta's voice..

Cc: Lucas Mbwa Wa Shamba.
 
Wala hatojuta! Uliandika 26/9/2023 na leo 11/6/2024 kafanya uteuzi mwingine. Usisahau ule wa kutenguliwa Yunus hivi punde.
Tanzania imeoza, ukichagua 10, wasafi wa uhakika ni wa- 4. Hivyo fagio la chuma lazima lipite baada ya teuzi. Baada ya miaka 60, tumetengeneza vizazi ya walarushwa, waongo, watu wasiowaadilifu, hivyo kuchagua viongozi waadilifu miongoni mwetu ni kazi sana. Kuteua na kutengua ndio njia pekee ya kusahihisha na kubakia na waadilifu.
 
Huku kubadilisha badilisha viongozi ni hatari sana hasa viongozi wa ngazi za juu
 
Naam
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…