Sikubaliani na pendekezo la Waziri wa Fedha kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa arudishwe kwenye mshahara wake wa awali

TGS H6 ni kiasi gani?
 
Hatutegemei majizi na mazembe mkubaliane ila ndio hivyo lazima tutekeleze,Rais Samia keshaamua hivyo.
 

Nadhani umeshajijua ni mmoja kati ya walioteuliwa na muda wowote watafyatuliwa! Unaumia kitu gani wakati mtu ksfyatuliwa na hana wadhifa tena wa kulipwa huo mshahara wa mteuliwa?
 
Kumrudisha mshahara mtu ni kinyume cha haki za binadamu. Kumwondolea mtu cheo hakusababishi aondolewi haki ya maisha yaliyojengwa kwa mshahara mpya.
 

Ninakubaliana na pendekezo la Waziri wa Fedha kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa arudishwe kwenye mshahara wake wa awali kwa 100%.​

 
Naomba umuulize Kwa uzoefu wake wa muda mrefu hivyo ingetekelezea tangu muda huo,hajafika alipo ingemkuta,isinge mkuta🤔 Na je vipi Leo ikianza kutekelezwa turudi nyua halafu tutafute uwiano Kwa waliostahili kushushiwa,lakini hivisasa wamepanda,kama alivyo yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…