Sikubaliani na watu wanaoamini Fid Q ni genius

Wewe utakua kizazi cha BRN ndo mnasema fid anaandika tafuta ngoma ya fid I am professional alafu nenda tafuta ngoma ya lily kim sikwambii ngoma gani alafu njoo ubwabwaje hapa sema fid anaandika mfano mdogo ukitaka nifate PM
Bro nimemsikiliza sana fid q nimemsikiliza sana songa, Uwezi kuwa upo seriaz kwakusema fid ajui hapohapo unamkubali mtu kama songa, Hapana kabisa..
 
Yeah ni kweli sio jiniasi ila usijaribu kumchukulia poa kama unavyofanya hapa..........na kama unaweza andika na wewe kama yeye.....jaribu kuchanganya mchezo wa maneno......na ulete maana na watu wakuappreciate.

Acheni wivu.....Someni vitabu
 
Wewe utakua kizazi cha BRN ndo mnasema fid anaandika tafuta ngoma ya fid I am professional alafu nenda tafuta ngoma ya lily kim sikwambii ngoma gani alafu njoo ubwabwaje hapa sema fid anaandika mfano mdogo ukitaka nifate PM

Lily who now?

Ukiamua kumkandia mtu, at least toa sababu za kina basi. La sivyo zinasomeka kama chuki/wivu.
 
Yeah ni kweli sio jiniasi ila usijaribu kumchukulia poa kama unavyofanya hapa..........na kama unaweza andika na wewe kama yeye.....jaribu kuchanganya mchezo wa maneno......na ulete maana na watu wakuappreciate.

Acheni wivu.....Someni vitabu
[emoji122] [emoji122] umenena vyema sana bro, ichi ndicho ninachomaanisha mimi mwenyewe watu wanakazana tu jamaa anacopy anacopy kama ni kazi flani nyepesi sana ambayo kila msanii anaweza..Fid q anaweza heshima kwake na mimi ni shabiki wa one incredible sio Fid q.
 
Sioni kama kuna maana yyte kubisha kuwa Fid ni Geneus labda kama mleta mada ametishika na neni genous bila kujua maana halisi na kama maana hiyo inaendana na muhusika
 
Fid q anajua bwana...ebu tafuta song la propaganda hlf niambie kila lyrcs aliyochana km ni nyepesi nyepesi km kiazi cha chips..fareed huwez kumuelewa km ww si mtu wa kushughulisha akili yako.
 
Hili ni jibu tosha
 
Hongera sana mkuu Ila wengi humu hawatakuelewa....usishangae!!
 
Mwache Fid Q asee huyu jamaa ni genius.
Ukiwa genius sio lazima ujue kila kitu ila uoneshe uwezo wako katika eneo ambalo unalitumikia,pitia tungo zake umsome vizuri.
"DUNIA SIO CHAFU,CHAFU UCHAFU TUKIUTAZAMA" SUMUUUUUU..
Asee embu achana Fid mzee.
 
"Utasikia hatukopi kwenye vitabu babu" . Unadhani kukopi mpaka ku-make sense mchezo!
 
"Mashairi yanasambaa kila mahali mithiri ya nzi"
 
Kama ni misemo vp kuhusu B chau, B hindu, Zembwela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…