Sikuchagua Mkoa wa Kagera lakini wamenichagua Kagera ndiko nitafanya Oral interview Nauli 100,000

Wasiliana nao wakubadirishie ila kama current address yako ni Bukoba sahau kubadirishiwa.....
 
Hiyo huwa haibadiliki mkuu, hata uwasiliane!!!


. UTUMISHI hii kazi ya afya na walimu naona imewashinda... Wailudishe tu TAMISEMI
 
Laki 3 nauli sawa hio kazi anayoenda kuipambania analipwa millioni ngapi?
 
Pole na hongera kwa kachaguliwa kufanya usaili.

Changamoto kama hii ilitokea kwa wale wa kada ya afya na ndio maana utumishi wakatoa wiki mbili za walimu kuthibitisha (confirm) mikoa husika ya machaguo yao.

Swali ni je wewe ulihakikisha kwamba mkoa husika uliochagua ndio wenyewe wakati ule fursa hiyo ilipotolewa?

Kama ulifanya hivyo na imetokea tofauti labda ujaribu kuwasiliana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…