Sikuchagua Mkoa wa Kagera lakini wamenichagua Kagera ndiko nitafanya Oral interview Nauli 100,000

Kwa jobless mwalimu wa grade A nakushauri uende... kamshaara sio kabaya sana kuanzia maisha msikate temaa wajuukuu zangu... mna safari kubwa ya kuikomboa nchi yenu na utumishi ni sehemu mojawapo ya kukomboa nchi
 
nenda utapata
 
Mkakati maalum watu wakajionee maendeleo ya wahaya, ishomile.
 
Anuani yako inasoma wapi ? Inawezekana ulijaza anuani ya bukoba .
 
Pole sana
 
Achana nayo, au nenda hlf usipopata unawafungulia kesi ya Madai au Utapeli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…