Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Pyschopath inamsumbua sana yeye binafsi na hata kizazi chake kijacho kitateseka sana kutokana kulipwa mshahara wa 'blue-collar' dhidi ya nchi na utawala halaliNgusa samike ni RAS leo na kwa vyovyote hasingeweza kufanya kazi ikulu kama msaidizi wa rais Samia kama ilivyo kwa walinzi wa Magufuli.
Haikuwa kufuta legacy au royalists kama mwandishi kilaza Kabendela alivyodai
Kumbe pasco mayalla alikuwa sahihi sana kuhusu huyu jamaa mzushi na mwongo mwongo hivi
USSR View attachment 2578937
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo mjinga.Ngusa samike ni RAS leo na kwa vyovyote hasingeweza kufanya kazi ikulu kama msaidizi wa rais Samia kama ilivyo kwa walinzi wa Magufuli.
Haikuwa kufuta legacy au royalists kama mwandishi kilaza Kabendela alivyodai
Kumbe pasco mayalla alikuwa sahihi sana kuhusu huyu jamaa mzushi na mwongo mwongo hivi
USSR View attachment 2578937
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo Lindi anakula Bata tu fukara kama wewe tuliaIla kwa sasa Ngusa siyo RAS tena. Ameondolewa kwenye u RAS
Kila aliyekwenda kinyume na magufuli alitumiwa kila anayeenda sawa na mama amelamba asali . Akili ndogo sanaKibendela Eric unayemsema ni juha wa mwisho. Hajitambui. Imagine mtu anaikashifu serikali kwa faida ya watu ambao mirija yao ilikatwa. Baada ya waliokatiwa mirija kugundua wana mtetezi wanaanza kumtumia pesa ili awalipe watu wa kuikashifu serikali kupitia social media bahati mbaya ikiwepo JF. Aliposhtukiwa kwa money laundering wote waliokuwa kwenye payroll yake wakapotea kwa vile there was no payment. Huyu ni wa kuonea huruma
Alikuwa RAS Lindi, lakini alitemeshwa mzigo na mama kwenye uteuzi wa juzi juzi! Huyu hapa akikabidhi ofisi!Hakustaafu tarehe 16/3?? Ngusa sio RAS nisahishwe kama nimekosea
Nimegundua hamjanielewa nilimaanisha huyu mtoa post.kabendela ni moja ya watanzania wanaojua tunaoapa tutafukua yule mbwa wa chato tunamaana gan .Bora vijana akina, sabaya, mnyet,i makonda na mzee wa kuwashughulikia wastaafu, au nasema uongo 🤣🤣🤣🤣
Duh naona hufuatilii kabisa na hujui mambo ndani ya nchi. Ngusa alikuwa RAS Mwanza kisha akahamishwa kwenda Lindi na hivi karibuni ameondolewa kwenye nafasi hiyo na aliyekuwa RAS Pwani ndio RAS Lindi kwa sasa. Ukithibitisha kwamba Ngusa yupo Lindi kama RAS kwa sasa najitoa JF!
Uwe unafanya utafiti kabla ya kuandika
Wewe ndiyo kilazaNgusa samike ni RAS leo na kwa vyovyote hasingeweza kufanya kazi ikulu kama msaidizi wa rais Samia kama ilivyo kwa walinzi wa Magufuli.
Haikuwa kufuta legacy au royalists kama mwandishi kilaza Kabendela alivyodai
Kumbe pasco mayalla alikuwa sahihi sana kuhusu huyu jamaa mzushi na mwongo mwongo hivi
USSR View attachment 2578937
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo sikubaliani na kila.EK alichoandika kwenye kitabu chake, EK sio kilaza! He is one of the best we have!.kama mwandishi kilaza Kabendela alivyodai
Duh...!.Kumbe pasco mayalla alikuwa sahihi sana kuhusu huyu jamaa mzushi na mwongo mwongo hivi
USSR
Umeona ufukue kaburi. In his understanding (mwanzilishi wa thread) na mimi pia EK ni kilaza. Same to media house anazozifanyia kazi. Before posting or publishing they should clarify the truth of those information. So far magufuli ni binadamu lakini hachafuki kizembe thus why karma ina happen now kwa chadema, itakuja ccm humo humo na kwake kabendera mwenyewe.Japo sikubaliani na kila.EK alichoandika kwenye kitabu chake, EK sio kilaza! He is one of the best we have!.
Duh...!.
Umeona ufukue kaburi. In his understanding (mwanzilishi wa thread) na mimi pia EK ni kilaza. Same to media house anazozifanyia kazi. Before posting or publishing they should clarify the truth of those information. So far magufuli ni binadamu lakini hachafuki kizembe thus why karma ina happen now kwa chadema, itakuja ccm humo humo na kwake kabendera mwenyewe.
Tofauti ya wewe na kabendera ni moja, wewe unaongea unacho kihisi kichwani mwako, kabendera ameandika alicho kichunguzaKibendela Eric unayemsema ni juha wa mwisho. Hajitambui. Imagine mtu anaikashifu serikali kwa faida ya watu ambao mirija yao ilikatwa. Baada ya waliokatiwa mirija kugundua wana mtetezi wanaanza kumtumia pesa ili awalipe watu wa kuikashifu serikali kupitia social media bahati mbaya ikiwepo JF. Aliposhtukiwa kwa money laundering wote waliokuwa kwenye payroll yake wakapotea kwa vile there was no payment. Huyu ni wa kuonea huruma
Magufuli alikuwa na mazuri lakini ana mabaya mengi sana..Magufuli alitawala kwa kutumia mabavu.
..Watu wengi wamedhulumiwa HAKI zao wakati wa Magufuli akiwa madarakani.
..Magufuli ni msafi kwa watu waliojitoa ufahamu, lakini watu waelewa wanajua alikuwa muovu.
Magufuli alikuwa na mazuri lakini ana mabaya mengi sana
Nyie ni wauaji mkishirikiana MagufuliKibendela Eric unayemsema ni juha wa mwisho. Hajitambui. Imagine mtu anaikashifu serikali kwa faida ya watu ambao mirija yao ilikatwa. Baada ya waliokatiwa mirija kugundua wana mtetezi wanaanza kumtumia pesa ili awalipe watu wa kuikashifu serikali kupitia social media bahati mbaya ikiwepo JF. Aliposhtukiwa kwa money laundering wote waliokuwa kwenye payroll yake wakapotea kwa vile there was no payment. Huyu ni wa kuonea huruma