Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Pyschopath inamsumbua sana yeye binafsi na hata kizazi chake kijacho kitateseka sana kutokana kulipwa mshahara wa 'blue-collar' dhidi ya nchi na utawala halaliNgusa samike ni RAS leo na kwa vyovyote hasingeweza kufanya kazi ikulu kama msaidizi wa rais Samia kama ilivyo kwa walinzi wa Magufuli.
Haikuwa kufuta legacy au royalists kama mwandishi kilaza Kabendela alivyodai
Kumbe pasco mayalla alikuwa sahihi sana kuhusu huyu jamaa mzushi na mwongo mwongo hivi
USSR View attachment 2578937
Sent using Jamii Forums mobile app