Sikuhi kuwaza kubwa Elick Kabendela ni mjinga kiasi hiki

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Ngusa samike ni RAS leo na kwa vyovyote hasingeweza kufanya kazi ikulu kama msaidizi wa rais Samia kama ilivyo kwa walinzi wa Magufuli.

Haikuwa kufuta legacy au royalists kama mwandishi kilaza Kabendela alivyodai

Kumbe pasco mayalla alikuwa sahihi sana kuhusu huyu jamaa mzushi na mwongo mwongo hivi

USSR
Screenshot_20230406-223541.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngusa samike ni RAS leo na kwa vyovyote hasingeweza kufanya kazi ikulu kama msaidizi wa rais Samia kama ilivyo kwa walinzi wa Magufuli.

Haikuwa kufuta legacy au royalists kama mwandishi kilaza Kabendela alivyodai

Kumbe pasco mayalla alikuwa sahihi sana kuhusu huyu jamaa mzushi na mwongo mwongo hivi

USSR View attachment 2578937

Sent using Jamii Forums mobile app
Unyama aliotendewa Kabendera na ile serikali ya kinyama kama ungetendewa wewe ungeishakufa
 
Ngusa samike ni RAS leo na kwa vyovyote hasingeweza kufanya kazi ikulu kama msaidizi wa rais Samia kama ilivyo kwa walinzi wa Magufuli.

Haikuwa kufuta legacy au royalists kama mwandishi kilaza Kabendela alivyodai

Kumbe pasco mayalla alikuwa sahihi sana kuhusu huyu jamaa mzushi na mwongo mwongo hivi

USSR View attachment 2578937

Sent using Jamii Forums mobile app
Kibendela Eric unayemsema ni juha wa mwisho. Hajitambui. Imagine mtu anaikashifu serikali kwa faida ya watu ambao mirija yao ilikatwa. Baada ya waliokatiwa mirija kugundua wana mtetezi wanaanza kumtumia pesa ili awalipe watu wa kuikashifu serikali kupitia social media bahati mbaya ikiwepo JF. Aliposhtukiwa kwa money laundering wote waliokuwa kwenye payroll yake wakapotea kwa vile there was no payment. Huyu ni wa kuonea huruma
 
Hiyo mirija imerudi tena kwa kasi ya kutisha.
 
Kibendela Eric unayemsema ni juha wa mwisho. Hajitambui. Imagine mtu anaikashifu serikali kwa faida ya watu ambao mirija yao ilikatwa. Baada ya waliokatiwa mirija kugundua wana mtetezi wanaanza kumtumia pesa ili awalipe watu wa kuikashifu serikali kupitia social media bahati mbaya ikiwepo JF. Aliposhtukiwa kwa money laundering wote waliokuwa kwenye payroll yake wakapotea kwa vile there was no payment. Huyu ni wa kuonea huruma

..Kabendera hakuwa anakashifu serikali alikuwa anasema ukweli kuhusu uovu wa Magufuli na genge lake.
 
Ngusa samike ni RAS leo na kwa vyovyote hasingeweza kufanya kazi ikulu kama msaidizi wa rais Samia kama ilivyo kwa walinzi wa Magufuli.

Haikuwa kufuta legacy au royalists kama mwandishi kilaza Kabendela alivyodai

Kumbe pasco mayalla alikuwa sahihi sana kuhusu huyu jamaa mzushi na mwongo mwongo hivi

USSR View attachment 2578937

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni mpumbavu
 
Kabendera yuko sahihi
 
Actually JPM alikuwa na huruma sana, kuna watu walifanya dhambi ya usaliti dhidi ya nchi yao akaishia kuwasamehe tu.

Yaani miaka nenda rudi tunapiga kelele kuwa tunaibiwa rasilimali za nchi yetu kama vile madini na gesi, anakuja rais ambaye anaamua kuvalia njuga hilo suala ili kutetea maslahi ya nchi alafu wanajitokeza wapuuzi wachache miongoni mwa wale waliokuwa wanalalamika kuwa tunaibiwa wanaanza kuizunguka nchi na kupanga mipango ovu dhidi ya nchi!

Wanajijua, na dhambi zao zinafahamika. Wasahau kuja kuwa viongozi katika serikali ya jamuhuri ya nchi hii.
 
Ngusa samike ni RAS leo na kwa vyovyote hasingeweza kufanya kazi ikulu kama msaidizi wa rais Samia kama ilivyo kwa walinzi wa Magufuli.

Haikuwa kufuta legacy au royalists kama mwandishi kilaza Kabendela alivyodai

Kumbe pasco mayalla alikuwa sahihi sana kuhusu huyu jamaa mzushi na mwongo mwongo hivi

USSR View attachment 2578937

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu ameandika usichokipenda au? 🤣🤣 Sukuma gang mnazingua sana.

Legacy imeguswa naona mapovu kama yote 😁😁
 
Back
Top Bottom