Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
- Thread starter
-
- #21
Ahsante tatizo nimejikuta kipind mambo mengi Sana aiseeeeUnaishi vipi bila madeni??
Binadamu lazima na madeni aiseee.
Kwanza hongera kwa kua na madeni, hiyo ni hatua kubwa sana ya kujitambua.
Pole cute ndo maishaNlikua nasikiaga tu Kwa watu aiseee
MjiniUnapatikana Wapi?
Ningemtesa tu mtoto wa watuapo mr hata akipiga round nane hufiki kileleni
Ahsante dearPole cute ndo maisha
Ni utoto unawasumbua, mimi madni hata hayaniumizagi kichwaa wlaaaGeuka umkumbatie babe wako ulale mkuu, madeni ni sehemu ya maisha, usipate stress.
Serikali yenyewe inadaiwa kina bakhersa wanadaiwa Mimi Ni Nani hatakama nsipokua Mwalimu😅😅😅😅Sijui kwa nn nimewaza ww ni mwalimu😂
Nb: nawapenda sana walimu
Kwangu ndo naexperience Kwa Mara YA Kwanza ule uchungu wa madeniNi utoto unawasumbua, mimi madni hata hayaniumizagi kichwaa wlaaa
Ndo ukubwa huo, hutakiwi kuogopa madeni.Ahsante tatizo nimejikuta kipind mambo mengi Sana aiseeee
Sure madeni hayakwepeki Hasa kama unataka ufanye maendeleomy lil' bro kakimbia kwake kaja kujificha kwangu mwezi sasa, kisa madeni, mimi sipendi madeni kabisa, lakini maisha huwa yanalazimisha kukopa
Kuzunguka huku nimepata jibu la nilichoulizaSerikali yenyewe inadaiwa kina bakhersa wanadaiwa Mimi Ni Nani hatakama nsipokua Mwalimu😅😅😅😅
Ahsante mkuuNdo ukubwa huo, hutakiwi kuogopa madeni.
Buni mbinu uyakabili, usiwaze sana utajiletea matatizo mengine.
Madeni ni kitu cha kawaida maishani, sio ajabu kudaiwa na uzuri ni kua madeni yanazungumzika pia.
Kwenye ulipaji jipe kipaumbele wewe na sio anaekudai, vivyo hivyo kama wewe ni mkopeshaji basi jipe kipaumbele wewe na sio unaemdai.
Always maslahi yako yawe mbele kwanza. Usilipe mpaka ukakosa hela ya kula ukaanza kukopa tena na tena.
Pole sana, kama huna wewe lala tu wala usiogopee wala kujipa presha,. Ukifika waambie tu kuwa hujapata na umefanya jitihad zote na kama unaweza kuwaonyesha jitihada zako kama uthibitishi fanya hiyo.. wataelewa tu hata kama watajifanya wabishi....Kwangu ndo naexperience Kwa Mara YA Kwanza ule uchungu wa madeni
Serikali yenyewe inadaiwa kina bakhersa wanadaiwa Mimi Ni Nani hatakama nsipokua Mwalimu😅😅
7d0Wakuu,
Kwa mara YA Kwanza ndo naexperience Ile Hali YA kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi....nlikua naskiaga tu Kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu ...nna marejesho ,bado bills za kulipa bado michango Yan usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawa
😅😅
Acha uoga wewe, unachotakiwa ni kupambanaWakuu,
Kwa mara YA Kwanza ndo naexperience Ile Hali YA kukosa usingizi sababu ya madeni Namambo kuwa mengi....nlikua naskiaga tu Kwa watu wakisema madeni yanakosesha usingizi usiku unakua mrefu ...nna marejesho ,bado bills za kulipa bado michango Yan usiku silali usingizi ninao Sana Ila kila nkikumbuka rejesho aiseee usingizi unakataaaa......ama kweli utuuzima dawa
Tuliza moyo na nafsi ,kudaiwa ni sehemu ya maisha, Serikali yenyewe inadaiwa, ije kuwa sie wananchi! Hata matajiri wanakopa sanaSikatai mkuu nitalipa
Nmetoka kuuza ractis ya mtu no DW kwa 7m kisa rejesho dahWakuu,