Sikujua kama madeni yanakosesha usingizi kiasi hiki

Pambana
 
Kanuni za uchumi zimejengwa kwenye madeni,ni ngumu kuendelea bila madeni hasa ukiwa mfanyabishara
 
 
I like your courage
 
Katika vitu naogopa maishani mwangu ni madeni, sidai wala sidaiwi alhamdulillah,
Kuna mdada nafanya nae kazi anapenda kukopa na akishakua anadaiwa ofisi nzima itajua anavyojisemesha, uzuri tushamjua hakuna mtu anayehangaika nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…