Sikujua kama madeni yanakosesha usingizi kiasi hiki

Aha
 
Katika vitu naogopa maishani mwangu ni madeni, sidai wala sidaiwi alhamdulillah,
Kuna mdada nafanya nae kazi anapenda kukopa na akishakua anadaiwa ofisi nzima itajua anavyojisemesha, uzuri tushamjua hakuna mtu anayehangaika nae
Basi wewe maisha bora, heri yako.
 
Dawa ya deni ni kulipa.dawa ya kukabiliana na deni wakati una piranha kulipa nikuipinga HOFU.kumbuka ukiruhusu hofu ikujenge,itaathiri hata afya yako mwili na akiri.

Kuwa sugu wakati ukifaiti malipo.unajua kunawatu hawana hofu na deni.nikopeshe nikufundishe😀.

Inchi yenyewe inadaiwa hii.nanianakuwaga stress.kuhusu deni la taifa.

Pole upate wepesi wa kulipa.amina
 
Sio usingizi tu nakukonda
 
Mhhhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…