Sikujua kama presha ikipanda kuishusha Ni kazi tofauti Na kupandisha presha iliyoshuka

Kuwa makini mtu wangu. Siku hizi inawapata hadi watoto, watu wembamba na maskini makapuku. Inaitwaga kwa jina la utani SILENT KILLER.
 
Bwege huyo...!
Hauko sawa upstairs, mtu mwenye "ampendaye" na yuko na hali hiyo hawezi kuwa busy kutukana watu mitandaoni, kwa wataalamu wa afya hiyo ni "Emergency hypertensive crisis." pressure ya kiwango iko muda wowote inapasua mishipa ya damu na ni more likely ya ubongo na ikipiga centres nyeti unampoteza mpendwa wako, nimekusamehe bure.
 
Unaongea kinyume. Halafu mbona pressure ya kawaida hio?
 
Muda mwengine usiwe kama mtu aliyetokea Sengerema ukaitwa Msengerema.View attachment 2986633
Nilichopenda ni kuwa mnapendana na mkeo mpaka Raha .
Ila zaidi jina la mwanao Nuru ni jina la nesi wangu kivuruge ananikosha mno .
Mpe muda mkeo ,zungumza naye Kuna jambo lipo usilolijua presha si mkojo kuwa ukinywa maji basi figo inachuja .
Pamoja baba Nuru
 
Niliwai tembea na dem mweny viashilia vya ngoma pressure ikafik 158 'nikiwa na umri wa miak 25 sijui ningekata moto mpk nilipopima nikajikut mzim ikaend ikashuk yenyew
 
Nashangaa mtu anasema 140/89 ni pressure ya kawaida sana.
 
pole sana muungwana.....
Mwenyezi Mungu akupe ahueni ya mapema....


hata hivyo,
tujitahidi sana kupunguza mawazo kupita kiasi, kusamehe na kusahau kabisa.

tusihifadhi mambo mengi sana moyoni japo sio rahisi pia kama mwanadamu, maana sasa na moyo nao siku hizi umekua na kazi nyingi hadi unasukuma na mengine 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…