Sikujua kama presha ikipanda kuishusha Ni kazi tofauti Na kupandisha presha iliyoshuka

Pole mkuu,imepndishwa na nini hiyo presure? life style au ni msongo wa mawazo?
Otherwisw matibabu yoyotw huwa yanataka kumaliza dose,ila kama unaona changamoto unamuona tena Dokta anakubadilishia dawa.Sababu BP ni ugonjwa nyeti nashauri usitumie dawa za Viwandani za kuambiwa mitaani isipokuwa kama ni dawa lishe mfano vitunguu nk
 
Nimepima ECG Niko vizuri,,,,nimepewa Dawa za Aina mbili
 
Ahsante mkuu
 
Nmeshawahi pata reading ya 160/98mmHg
Nurse akanambia kaka umekuja unatembea
Nikamwambia Yes na ntarud natembea


Know your readings kwanza
120/80 ni universal rate no doubt but not everyone should be umo
 
Pole sana mkuu

Kuna mahali hiyo pressure inakoanzia,inabidi upime ujue inatokea wapi hasa ili upambane na huko inapotokea

Nachojua pressure ni indication of something deeper ndio kinazengua
 
Kwa hiyo sasa hivi sio chai tena imegeuka kuwa kahawa au juice mzee...?

Ukisoma hizo msg umeona kuwa yupo hospital sasa sijui unasemaje eti...?
 
Presha yako ni ya kawaida sana hiyo, mshukuru Mungu. Kuna watu wanatembea na presha ya 170/90 miaka kibao na wako sawa tu, wanapambana nayo aste aste
 
Shukran sana kiongozi, tatizo ni msiri sana kuna vitu huwa mgumu kuvisema hata kama vinamuumiza deep inside.

Mpaka hali iwe mbaya sana ndio utakuta anakueleza hilo jambo mkuu. Binafsi huwa anasema yeye yupo sawa tu ila akienda kupimwa unakuta hayupo sawa kabisa, siku akisema hayupo vizuri basi anakuwa kwenye hali mbaya na huwa anamaanisha kabisa.
 
Nmeshawahi pata reading ya 160/98mmHg
Nurse akanambia kaka umekuja unatembea
Nikamwambia Yes na ntarud natembea


Know your readings kwanza
120/80 ni universal rate no doubt but not everyone should be umo
Mbona 120/80 ndio normal kwa adults wote tu?

Hiyo 160/98 ulivumilia sababu ya mazoezi,Im sure pulse yako ilikua under 50....ukiwa mtu wa gym hata iwe 200/100 unakua fresh tu
 
Poleee sana. Kila siku asbh kabla hujafungua kinywa pata maji ya moto ya karafuu. Na jioni pia kabla hujalala. Karafuu isage weka kijiko kimoja kwenye kikombe chako. Fanya huo uwe utaratibu wako Kila siku.
Inachukua muda gani hii kuweka hali kuwa kawaida mkuu...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…