Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Hiyo ni Sugar moja ya hatariNa Hua napendelea kweli kunywa Pepsi au grandmalta
Umewezaje kurealize kwamba ni worst ? Nini kilitokea mwilini mwako ukaona kuwa ni worst hiyo hypert..?Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka
Kwako ili ikae sawa hiyo presha unatamani kuona kitu gani kikifanyika kwenye mwili wako mkuu ndio utaridhika kwamba presha yako iko sawa ?no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89
Alipimwa na manual BP au automatic BP?Wife alipima wiki hii alikuwa na 180/140. Hatari sana.
Umedanganywa au usikute huyo mkeo kiazi , kaambiwa 140/80 akachanganya madesa.Muda mwengine usiwe kama mtu aliyetokea Sengerema ukaitwa Msengerema.View attachment 2986633
Na hiyo ndio hatari mkuu maana hypovolemic shock inaweza pelekea mpaka cardiac failureNa mara nyingi inatokana severe bleeding ambayo inapelekea mpaka kupata shock.
Mwambie apunguze mawazo na apunguze matumizi ya chumvi haswa chumvi ambayo haijaungwa.Hapana nashindwa kuelewa tatizo nini ila ni mtu wa mawazo kiasi lakini pia anapenda chumvi na ana body Nene kiasi.
Stethoscope haipimi blood pressure bali inafanya auscultation (inasikiliza mapigo ya moyo).Hivi unajuaje kama una presha mkuu ?
Achilia mbali kutumia stethoscope kupima presha na kuona yale manambanamba je mbsli na hiko kipimo na hayo manamba ungrjijuaje kama una presha ?
Asante umeniita nigawe dozi.Mkuu. BICHWA KOMWE - naomba uweke japo neno hapa kuhusu huu ugonjwa wa presha A.K.A hypertension.
Binafsi naona kama kuna kitu sikielewi kuhusu presha wanasema haina dawa ya kuponesha kabisaa ila dawa za kupunguza zipo.
Muda mwengine usiwe kama mtu aliyetokea Sengerema ukaitwa Msengerema.View attachment 2986633
We umesikia wapi?Mkuu. BICHWA KOMWE - naomba uweke japo neno hapa kuhusu huu ugonjwa wa presha A.K.A hypertension.
Binafsi naona kama kuna kitu sikielewi kuhusu presha wanasema haina dawa ya kuponesha kabisaa ila dawa za kupunguza zipo.
Mzee humu ndani kuna watu wana ufaham mdogo sana huna haja ya kubishanaMuda mwengine usiwe kama mtu aliyetokea Sengerema ukaitwa Msengerema.View attachment 2986633
Hii hupswi hata kutumia dawaNashangaa mtu anasema 140/89 ni pressure ya kawaida sana.
Apunguze chumvi na mafutaHapana nashindwa kuelewa tatizo nini ila ni mtu wa mawazo kiasi lakini pia anapenda chumvi na ana body Nene kiasi.
Inasababishwa na issues za kukosa ajira kwa majobless na inasababishwa na kikokotoo kwa walioajiriwa.Presha yenyewe inatokana na Nini haswa?
Au Ni ishu za mapenzi
Unaona huyu amekiri mwenyewe kutumia KAHAWA! safuherNilikua natumia kahawa sana kuna siku ika shoot acha tu.
F.y.i. Hiyo ndiyo pressure mpendwa Miss_Mariaah! Yako no normalWife alipima wiki hii alikuwa na 180/140. Hatari sana.
Utoto raha! Wenzako tushakuwa na zaidi ya hapoMmnh...chai