Sikujua kama presha ikipanda kuishusha Ni kazi tofauti Na kupandisha presha iliyoshuka

Sikujua kama presha ikipanda kuishusha Ni kazi tofauti Na kupandisha presha iliyoshuka

Na Hua napendelea kweli kunywa Pepsi au grandmalta
Hiyo ni Sugar moja ya hatari

Vipi weight yako?

Usinywe chochote aisee regardless of anything,maji tu,kinyume na maji usiguse.

Sijui majuice,even hard liquor,hata kama ni acid,anything in a bottle kwenye fridge dont touch it.

Matunda nayo sometimes ni useless
 
Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka
Umewezaje kurealize kwamba ni worst ? Nini kilitokea mwilini mwako ukaona kuwa ni worst hiyo hypert..?
no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89
Kwako ili ikae sawa hiyo presha unatamani kuona kitu gani kikifanyika kwenye mwili wako mkuu ndio utaridhika kwamba presha yako iko sawa ?
 
Hivi unajuaje kama una presha mkuu ?

Achilia mbali kutumia stethoscope kupima presha na kuona yale manambanamba je mbsli na hiko kipimo na hayo manamba ungrjijuaje kama una presha ?
Stethoscope haipimi blood pressure bali inafanya auscultation (inasikiliza mapigo ya moyo).

Blood pressure inapimwa na sphygmanometer.
 
Mkuu. BICHWA KOMWE - naomba uweke japo neno hapa kuhusu huu ugonjwa wa presha A.K.A hypertension.

Binafsi naona kama kuna kitu sikielewi kuhusu presha wanasema haina dawa ya kuponesha kabisaa ila dawa za kupunguza zipo.
Asante umeniita nigawe dozi.

Hawa watu (hususani wa mitandaoni) ni WAPUMBAVU, kwanza hawastahili kufaidi maarifa yangu, lakini PILI hawajakidhi viwango vya kuelewa ninachokisema.

Unaona huyu KINYANGARIKA anazungumza kuhusu ugonjwa kwa madaha sana, ni kama vile anaona ujiko kuwa na HBP.

Anajivunia kabisa, na ukimsoma kwa jicho la tatu utabaini anaupenda huo ugonjwa kwa sababu unampa "hadhi" ya kumiliki "gonjwa la kifahari".

It appears to me that these ZOMBIES are programmed to feel good about being sick and to be proud of their diseases. FOR THE BETTERMENT OF PHARMACEUTICAL COMPANIES and their ALLIES.

Ati ooh mimi nina presha ya kupanda, nimepima natumia dozii, mara jamani sijui nini! HOW FOOLISH IS THAT?

Kwanza huo sio ugonjwa, ni UJINGA unaotokana na kubugia mavyakula hovyo na kunywa matakataka. Vinyesi na cocacolas. NA MACHANJO.

Cc: Wakili msomi Nyani Ngabu DR Mambo Jambo
 
1. Kuwa makini Sana kutumia Dawa za pressure zitakupa Magonjwa mengine... Unatakiwa... Uptime around 14 days asubuhi na jioni ili kupata average ya pressure yako.
2. Kifupi BP inatibika kwa kubadili life style yako.
3. Hizi reading it's more about business za Dawa kuliko Tiba.... Dawa iwe options ya mwisho
 
Nilikua natumia kahawa sana kuna siku ika shoot acha tu.
Unaona huyu amekiri mwenyewe kutumia KAHAWA! safuher

Kawaha ina CAFFEINE kama vile COCACOLA pamoja na VITA MALT.

Ukinywa haya mauchafu lazima moyo ubasti na ubongo utafumuka tu kwa vyovyote vile.

Baadaye unaanguka barabarani kama gunia la chumvi!! Unakufa kama kuku tu kiulaini sana.

Chanzo: COCACOLA na ENERGY DRINK.
 
Back
Top Bottom