Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Ngoja niongezee uzito kwenye hoja yako kwa kuweka madini zaidi.Unaona huyu amekiri mwenyewe kutumia KAHAWA! safuher
Kawaha ina CAFFEINE kama vile COCACOLA pamoja na VITA MALT.
Ukinywa haya mauchafu lazima moyo ubasti na ubongo utafumuka tu kwa vyovyote vile.
Baadaye unaanguka barabarani kama gunia la chumvi!! Unakufa kama kuku tu kiulaini sana.
Chanzo: COCACOLA na ENERGY DRINK.