Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Kwa usilolijua riba za bank zimetoka kwenye bibliaKukumbatia dini ni kukumbatia umasikini kwa sababu dini nyingi zinahamasisha ujamaa, na kuna mstari mwembamba sana kati ya ujamaa na umasikini, hii dunia kwa mifumo ya sasa ukitaka kutajirika hauna budi kuwa bepari
Mikopo hua wanachukua sana tu mara ya mwiso mo dewji kwenye interview moja hivi alisema anadaiwa karibu 5B sababu ya mkopoNilidhani ustadhi ni wale watu wa dini wasiojihusisha na riba kumbe ni mdau mzuri wa benki za biashara.
Ninapenda Bakhresa afanye kuwaelimisha wale wenye misimamo mikali tuwe na taifa endelevu.
Mno mnoUmasikini mbaya sana
Ubepari ni ubinafsi. Na ubinafsi ndiyo tabia asili ya mwanadamu.Kukumbatia dini ni kukumbatia umasikini kwa sababu dini nyingi zinahamasisha ujamaa, na kuna mstari mwembamba sana kati ya ujamaa na umasikini, hii dunia kwa mifumo ya sasa ukitaka kutajirika hauna budi kuwa bepari
We jamaa nimekukubali sana,kuna watu wajinga wanafikiri ujamaa ni sera,ujamaa ni ujinga wa kupalilia umasikini.Ubepari ni ubinafsi. Na ubinafsi ndiyo tabia asili ya mwanadamu.
Kutaka kufanya ujamaa ni ujinga na kwenda kinyume na tabia asili ya binadamu ambayo ni ubinafsi aka ubepari
,ujamaa ni ujinga wa kupalilia umasikini.
π€£π€£π€£ nimependa hizo point hahhaaujamaa na ushenzi unakaribiana
Ujinga huu,Nilidhani ustadhi ni wale watu wa dini wasiojihusisha na riba kumbe ni mdau mzuri wa benki za biashara.
Ninapenda Bakhresa afanye kuwaelimisha wale wenye misimamo mikali tuwe na taifa endelevu.
Waislamu feki wasiojielewa ndio hawakopiMikopo hua wanachukua sana tu mara ya mwiso mo dewji kwenye interview moja hivi alisema anadaiwa karibu 5B sababu ya mkopo
Ww na baba yako ambao dini yenu ina waruhusu kuchukua mikopo ya riba mna maendeleo gani?Nilidhani ustadhi ni wale watu wa dini wasiojihusisha na riba kumbe ni mdau mzuri wa benki za biashara.
Ninapenda Bakhresa afanye kuwaelimisha wale wenye misimamo mikali tuwe na taifa endelevu.
Ww orginal unaye ruhusiwa kula riba ni tajiri namba ngapi hapa Tz?Waislamu feki wasiojielewa ndio hawakopi
Halafu utakuta wao hawakopi halafu mbio wanaenda kwa Bakhresa au Mo Dewji awape msaada kujenga misikiti au madrasa au awasaidie.Wakati benki zipo na wao hawataki kukopa lakini biashara za Azam na Mo zikistawi sababu ya mikopo.wao mbio kutaka wapewe msaada ikiwemo kufuturishwa Ramadhani nk
siku za ijumaa hujaa wakiomba misaada na huku wakiwaombea dua ndeeefu za kuwa wazidi kubarikiwa kwenye biashara zao zilizojengwa na mikopo ya riba.