Sikujua, kumbe Bakhresa anakopa mikopo ya riba kwenye benki za biashara

Meli za ngano anapo agiza kutoka nje huwa halipi Cash, huwa anatumia Letter of Credit (LC) kutoka KCB Bank.

Kwenye biashara kubwa ni vitu vya kawaida
Kuna waislamu swala tano na Sigda kubwa usoni na ma ustaadhi na maimamu malofa utakuta kutwa wanapinga riba lakini kutwa hujipanga foleni kwa Bakheresa kuomba michabgo ya ujenzi misikiti na madrasa na tende na chakula cha kufuturu Ramadhani hadi michango ya kanzu ma kobaz zao wanazovaa
 
Kuna waislamu swala tano na Sigda kubwa shingoni na ma ustaadhi na maimamu malofa utakuta kutwa wanapinga riba lakimi kutwa hujipanga foleni kwa Bakheresa kuomba michabgo ya ujenzi misikiti na madrasa na tende na chakula cha kufuturu Ramadhani hadi michango ya kanzu ma kobaz zao wanazovaa
Sasa shida yenu nini mbona sioni hapo ugomvi bakhressa anaishi maisha yake na biashara zake mnacholalamika hapa ni nini mbona kama makasiriko yamezidi
 
Waislamu feki wasiojielewa ndio hawakopi
Halafu utakuta wao hawakopi halafu mbio wanaenda kwa Bakhresa au Mo Dewji awape msaada kujenga misikiti au madrasa au awasaidie.Wakati benki zipo na wao hawataki kukopa lakini biashara za Azam na Mo zikistawi sababu ya mikopo.wao mbio kutaka wapewe msaada ikiwemo kufuturishwa Ramadhani nk

siku za ijumaa hujaa wakiomba misaada na huku wakiwaombea dua ndeeefu za kuwa wazidi kubarikiwa kwenye biashara zao zilizojengwa na mikopo ya riba.
kwa hiyo uislam wa kujielewa ndio wa kwenda kinyume na maagizo ya Muumba (Allah)!
hii haiwezi kuwa akili ya kawaida.
 
Nilidhani ustadhi ni wale watu wa dini wasiojihusisha na riba kumbe ni mdau mzuri wa benki za biashara.

Ninapenda Bakhresa afanye kuwaelimisha wale wenye misimamo mikali tuwe na taifa endelevu.
Bado hamjasema, na mtasema tu

Bado hamjaonesha chuki zenu dhidi ya uislamu na mtaonesha tu

Halafu uislamu upo imara na hauyumbi kwa ajili ya maadui/makafiri.

NB
Bakhresa ni sio icon ya uislamu, chochote atachofanya Bakhresa ni maisha yake binafsi

ila PAPA ni icon ya ukristo, hivyo acheni kupoteza muda hapa

NENDENI MKABARIKIWE NA KUFUKULIWA MTARO
 
Sasa shida yenu nini mbona sioni hapo ugomvi bakhressa anaishi maisha yake na biashara zake mnacholalamika hapa ni nini mbona kama makasiriko yamezidi
Hapa sio kesi tunaongelea hao maimamu na maustaadhi wapiga yowe misikitini tena kwenye loud speaker kuwa hata wakristo wanawaita makafiri wasikie kuwa riba haramu natunasikia mawaidha yao sababu spika zao zina nguvu sana hadi kanisani . tunaishi karibu na misikiti halafu kesho wanaenda kutaka msaada kwa Bakheresa na Mo Dewji kuomba hela za misaada toka biashara zake zimejengwa kwa mikopo ya riba kuomba wajengewe misikiti, madrasa ,wafuturishwe Ramadhani nk

Ndio tunashangaa hamna ugomvi tunawashangaa wao maustaadhi na maimamu wenye sigda kubwa usoni swala kumi hao wapiga yowe miskitini kuwa riba marufuku ni ukafiri kama ukafiri wa wakristo na wanapiga yowe tusikie wanaotuita makafiri waendekeza riba
 
Bado hamjasema, na mtasema tu

Bado hamjaonesha chuki zenu dhidi ya uislamu na mtaonesha tu

Halafu uislamu upo imara na hauyumbi kwa ajili ya maadui/makafiri.

NB
Bakhresa ni sio icon ya uislamu, chochote atachofanya Bakhresa ni maisha yake binafsi

ila PAPA ni icon ya ukristo, hivyo acheni kupoteza muda hapa

NENDENI MKABARIKIWE NA KUFUKULIWA MTARO
Umemwaga povu zito, tulia mrembo.
 
Hapa sio kesi tunaongelea hao maimamu na maustaadhi wapiga yowe misikitini tena kwenye loud speaker kuwa hata wakristo wanawaita makafiri wasikie kuwa riba haramu natunasikia mawaidha yao sababu spika zao zina nguvu sana hadi kanisani . tunaishi karibu na misikiti halafu kesho wanaenda kutaka msaada kwa Bakheresa na Mo Dewji kuomba hela za misaada toka biashara zake zimejengwa kwa mikopo ya riba kuomba wajengewe misikiti, madrasa ,wafuturishwe Ramadhani nk

Ndio tunashangaa hamna ugomvi tunawashangaa wao maustaadhi na maimamu wenye sigda kubwa usoni swala kumi hao wapiga yowe miskitini kuwa riba marufuku ni ukafiri kama ukafiri wa wakristo na wanapiga yowe tusikie wanaotuita makafiri waendekeza riba
Waislamu wengi wenye maendeleo hapa Tanzania wamejitenga na imani kali za kidini. Wanapeleka watoto wao shule za seminari za kikristo aidha hapa nchini au kwenye nchi zilizoendelea.
 
Hapa sio kesi tunaongelea hao maimamu na maustaadhi wapiga yowe misikitini tena kwenye loud speaker kuwa hata wakristo wanawaita makafiri wasikie kuwa riba haramu natunasikia mawaidha yao sababu spika zao zina nguvu sana hadi kanisani . tunaishi karibu na misikiti halafu kesho wanaenda kutaka msaada kwa Bakheresa na Mo Dewji kuomba hela za misaada toka biashara zake zimejengwa kwa mikopo ya riba kuomba wajengewe misikiti, madrasa ,wafuturishwe Ramadhani nk

Ndio tunashangaa hamna ugomvi tunawashangaa wao maustaadhi na maimamu wenye sigda kubwa usoni swala kumi hao wapiga yowe miskitini kuwa riba marufuku ni ukafiri kama ukafiri wa wakristo na wanapiga yowe tusikie wanaotuita makafiri waendekeza riba
Taja hao mashehe wanao enda kwa Bahareesa kuomba misaada.

Alafu aliye kwambia kuwa kila kinacho fanywa na tajiri basi ndo halali ni nani?
Au ww kwako mtu akisha kuwa tajiri basi ni mungu?
 
Kuna waislamu swala tano na Sigda kubwa usoni na ma ustaadhi na maimamu malofa utakuta kutwa wanapinga riba lakimi kutwa hujipanga foleni kwa Bakheresa kuomba michabgo ya ujenzi misikiti na madrasa na tende na chakula cha kufuturu Ramadhani hadi michango ya kanzu ma kobaz zao wanazovaa
Ninadhani ungejikita kuongelea biashara na mikopo kuliko kuwashambulia wasiohusika. Kuna watu waliowahi kuja kujipanga kwako kuomba msaada? Wewe ni maskini mwenye roho chafu sana.
 
Hapa sio kesi tunaongelea hao maimamu na maustaadhi wapiga yowe misikitini tena kwenye loud speaker kuwa hata wakristo wanawaita makafiri wasikie kuwa riba haramu natunasikia mawaidha yao sababu spika zao zina nguvu sana hadi kanisani . tunaishi karibu na misikiti halafu kesho wanaenda kutaka msaada kwa Bakheresa na Mo Dewji kuomba hela za misaada toka biashara zake zimejengwa kwa mikopo ya riba kuomba wajengewe misikiti, madrasa ,wafuturishwe Ramadhani nk

Ndio tunashangaa hamna ugomvi tunawashangaa wao maustaadhi na maimamu wenye sigda kubwa usoni swala kumi hao wapiga yowe miskitini kuwa riba marufuku ni ukafiri kama ukafiri wa wakristo na wanapiga yowe tusikie wanaotuita makafiri waendekeza riba
Kwani bakhressa ni imamu? Huwezi ukafuatilia mambo binafsi ya mtu ambayo huna hata ushahidi nayo unayaleta hapa kufanya umbea wakati haikusaidii chochote kwenye maisha yako wala familia yako
 
Ninayo maendeleo makubwa sana ila hayo sio mjadala uliopo mezani.
Hilo la ww kuwa na maendeleo au kuto kuwa nayo siwezi kudhibitisha maana binadamu anaweza kutumia mdomo wake kujimilikisha dunia wakati yeye hata pa kulala hana.

Vip kuhusu mamilioni ya wagaratia wenzio wanao nuka umasikini hapa nchini umasikini wao ni kwa sababu ya msimamo mkali?
Alafu nyinyi si mnashinda humu mna msema mzee Baghareesa kuwa ni mdini kupitiliza mpaka kwenye biashara zake tena leo amekuwa mwema kwenu na si msimamo mkali?
 
Nilidhani ustadhi ni wale watu wa dini wasiojihusisha na riba kumbe ni mdau mzuri wa benki za biashara.

Ninapenda Bakhresa afanye kuwaelimisha wale wenye misimamo mikali tuwe na taifa endelevu.
Kuna baadhi ya project nchi hii huruhusiwi kufanya bila kukopa benki za Biashara, ni Lazima.

Zipo benki za kiisilamu ambao hao hao matajiri wanatumia.

Pia hizo hizo benki za Biashara kama NBC wana sharia bank, huwezi jua anakopeshwaje.
 
Kukumbatia dini ni kukumbatia umasikini kwa sababu dini nyingi zinahamasisha ujamaa, na kuna mstari mwembamba sana kati ya ujamaa na umasikini, hii dunia kwa mifumo ya sasa ukitaka kutajirika hauna budi kuwa bepari
Huna lolote unalojua, Benki za kiisilamu zipo everywhere na zipo very successfull, badala ya kuwa na chuki, jifunze bank ya kiisilamu inaendeshwaje na jinsi gani inakufaidisha compare na benki ya kawaida.
Mikopo ya mabeberu haikwepeki hata uwe ustadh vipi!
Hata ya kiisilamu haikwepeki, sasa hivi ipo Dunia nzima,
 
Back
Top Bottom