Hapa sio kesi tunaongelea hao maimamu na maustaadhi wapiga yowe misikitini tena kwenye loud speaker kuwa hata wakristo wanawaita makafiri wasikie kuwa riba haramu natunasikia mawaidha yao sababu spika zao zina nguvu sana hadi kanisani . tunaishi karibu na misikiti halafu kesho wanaenda kutaka msaada kwa Bakheresa na Mo Dewji kuomba hela za misaada toka biashara zake zimejengwa kwa mikopo ya riba kuomba wajengewe misikiti, madrasa ,wafuturishwe Ramadhani nk
Ndio tunashangaa hamna ugomvi tunawashangaa wao maustaadhi na maimamu wenye sigda kubwa usoni swala kumi hao wapiga yowe miskitini kuwa riba marufuku ni ukafiri kama ukafiri wa wakristo na wanapiga yowe tusikie wanaotuita makafiri waendekeza riba