Mpigania uhuru wa pili JF-Expert Member Joined Apr 12, 2023 Posts 3,380 Reaction score 6,376 Mar 17, 2024 #181 Tz mbongo said: Sasa wewe majini umewajuaje? Click to expand... Kupitia quran sababu kule wana aya kabisa na waisalmu
Tz mbongo said: Sasa wewe majini umewajuaje? Click to expand... Kupitia quran sababu kule wana aya kabisa na waisalmu
Tz mbongo JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 13,332 Reaction score 7,351 Mar 17, 2024 #182 Masikio Masikio said: Kupitia quran sababu kule wana aya kabisa na waisalmu Click to expand... Kumbe majini ni vitu ambavyo unasikia tu kutoka kwa waislamu?
Masikio Masikio said: Kupitia quran sababu kule wana aya kabisa na waisalmu Click to expand... Kumbe majini ni vitu ambavyo unasikia tu kutoka kwa waislamu?
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Mar 17, 2024 #183 Masikio Masikio said: Huu mfumo wasasa wa bank umetokana na wayahudi Click to expand... Ukisema umetokana na Warumi itakuwa imekaa vizuri zaidi
Masikio Masikio said: Huu mfumo wasasa wa bank umetokana na wayahudi Click to expand... Ukisema umetokana na Warumi itakuwa imekaa vizuri zaidi