Sikujua, kumbe Bakhresa anakopa mikopo ya riba kwenye benki za biashara

Sikujua, kumbe Bakhresa anakopa mikopo ya riba kwenye benki za biashara

Wewe umesema huwezi kukwepa riba za mabeberu, mimi nimekujibu bank za kiisilamu zipo very successful dunia nzima, hata ukienda nchi za Magharibi zipo, hebu niambie hio comment yangu na ulichonijibu vinahusiana nini. Nasubiria.
Naomba nioneshe ni wapi niliposema huwezi kukwepa riba za mabeberu ndio maana nikakuuliza quran ambayo ndio muongozo wa dini yenu inasemaje kuhusu riba, au hizo bank za kiislam siku hizi ndio miongozo ya dini ya uislam, wewe ungenijibu tu swali langu quran inasemaje kuhusu riba ndio ningekuambia kwanini nimeuliza hivyo lakini ukaamua kukurupuka
 
Hivi kabla ya Qur'an hao wazee wetu walikuwa wanatumia nini kwenye uganga hadi leo hii waganga wengi wawe wanatumia Qur'an?
Wabongo hasa wakirito wakiona kitabu chochote kilicho andikwa maandishi ya kiarabu hata kama ni gazeti afahamu wao heti ni qur,aan[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Uliweza vp kujua kuwa waislamu ndio wengi? Na hiyo ina maana Mwamposa anapoteza waumini wa imani yake katika kanisa lake na matokeo yake wasio waumini wa imani yake ndio waliyobakia?
Hakuna muisilamu wakwenda pale hao ni washirikina wenzenu tu bali wanajiita waisilamu
 
Mm sijakataa kweli umeishi pemba muda mrefu kumbuka umesema Wapemba wachawi wanaloga kwa kutumia qur,an na majini bila shaka umeshuhudia basi tupe picha sababu siku hizi picha lazima,vinginevyo nawe mchawi
Majini kama roho unawezaje yapiga picha
Nenda kwa imamu wako wa msikiti muambie akuonyeshe jini anajua aya za kumuita utamuona

Hawa maimamu ndo hawa hawa wanasalisha mda huo huo wanafanya shughuli za kiganga kupitia quran kama sehemu ya kuwaingizia kipato
 
Back
Top Bottom