Sikujua, kumbe Bakhresa anakopa mikopo ya riba kwenye benki za biashara

Sikujua, kumbe Bakhresa anakopa mikopo ya riba kwenye benki za biashara

Nilisoma kuhusu capital and dividend

Huwezi kufanya project kubwa bila kukopa kwa mzawa.

Yani Hilo ulijue hakuna chief account anataka kujibu maswali yako lazma akulinde na yye ajilinde kukopa ni lazma.

Sawa una Hela Ila hizo Hela zitakutokea puani kama hukujipanga na TRA.
 
Unakuta tajiri mkubwa lkn account yake Ina kula block la week na govmnt.

Wanaona Kila kitu so ukizdsha tu bc utaenda kutoa risiti kwa kilicho zidi.
 
Majini kama roho unawezaje yapiga picha
Nenda kwa imamu wako wa msikiti muambie akuonyeshe jini anajua aya za kumuita utamuona

Hawa maimamu ndo hawa hawa wanasalisha mda huo huo wanafanya shughuli za kiganga kupitia quran kama sehemu ya kuwaingizia kipato
Kwani Mchungaji hawezi kuita jini? Maana jini ni malaika kiasili kwa mujibu wa ukristo.
 
Nilidhani ustadhi ni wale watu wa dini wasiojihusisha na riba kumbe ni mdau mzuri wa benki za biashara.

Ninapenda Bakhresa afanye kuwaelimisha wale wenye misimamo mikali tuwe na taifa endelevu.
Nadhani hujafanikiwa kutenganisha mtu na taasisi. Taasisi huwa hazina dini.

Ova
 
Wakristo hawana ushirika na majini bali malaika
Waislamu ndo wanaushirika na majini mazuri na wana aya zao kwenye quran
Sasa hao majini si ndio hao malaika kwa mujibu wa ukristo au umesahau hilo mkuu? Ukristo haufundishi kuwa Mungu aliumba majini bali malaika ndio hao majini.
 
Riba ni sumu kubwa kwa sisi makapuku, nadhani mungu alilenga hapo.. Mzee umekwama nduguyo anahitajika operation ya milioni 5, kisha unaambiwa ulipe milioni 6 ndani ya miezi miwili.
Tajiri anachukua mkopo kwenda.
Fuatilia mkopo wa bakhresa na kajamba nani uone utofauti wake. Kuanzia kukopesheka mpaka utumiaji.
 
Sasa hao majini si ndio hao malaika kwa mujibu wa ukristo au umesahau hilo mkuu? Ukristo haufundishi kuwa Mungu aliumba majini bali malaika ndio hao majini.
Majini na malaika ni vitu viwili tofauti
Majini wanakaa ndani ya mtu huku malaika hawawezi kaa ndani ya mtu
 
Majini na malaika ni vitu viwili tofauti
Majini wanakaa ndani ya mtu huku malaika hawawezi kaa ndani ya mtu
Sasa kama malaika na majini ni vitu viwili tofauti mbona mnasema majini ni malaika waliyoasi? Au hao malaika kuasi kwao kumewabadili kutoka kiumbe kimoja na kiumbe chengine?
 
Sasa kama malaika na majini ni vitu viwili tofauti mbona mnasema majini ni malaika waliyoasi? Au hao malaika kuasi kwao kumewabadili kutoka kiumbe kimoja na kiumbe chengine?
Ni wapi kwenye biblia kunakosema majini ni malaika walioasi
Nionyeshe mstari kutoka kwenye biblia nausubiria
 
Bakhresa ni nani katika uislam?
Sharia za uislam zitabaki hivyo hivyo zilivyo.kama anafanya riba dhambi zipo.atakwenda kujibizana na mungu wake.
 
Mbona sisi wengine hatupati hii mikopo.Wanaojua inapatikana vipi watuelekeze.Nimefika sehemu nyingi za mikopo,wanataka dhamana,na wengi,hatuna hizo dhamana.
Sasa dhamana ya kueleweka unayo mkuu?

Mkopo hua wanatoa kulingana na assets zako mfano huwezi pewa mkopo wa 1B na wakati assets zako zote ni 500M wanajua kabisa hutaweza kuwalipa.

Sasa case of Mo Dewji na Bakhresa labda ni kwamba wanachukua mikopo of which wakopeshaji wakipiga hesabu zao wanaona kabisa mtu huyu akifeli kunilipa basi kuna asset yake 1 na 2 tukiziuza zitarejesha mkopo.
 
Kwani waislamu wangapi tunawajua nchi hii wana mikopo ? Watumishi waislamu wanakopa , wafanyabiashara waislamu wana kopa iweje kwa bakhrrssa iwe nongwa? Mtoa mada unasumbuliwa na ugonjwa wa kutokujiamini na hiyo dini yako ndio maana unatafuta sympathy kupitia dini za watu wengine.
 
Back
Top Bottom