Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Mtu ambaye sio muislamu ni mshirikina hizi fikra za hovyo umezitolea wapi mbona unapenda kujifariji kwa mambo ya uongoHakuna muisilamu wakwenda pale hao ni washirikina wenzenu tu bali wanajiita waisilamu
Kwani Mchungaji hawezi kuita jini? Maana jini ni malaika kiasili kwa mujibu wa ukristo.Majini kama roho unawezaje yapiga picha
Nenda kwa imamu wako wa msikiti muambie akuonyeshe jini anajua aya za kumuita utamuona
Hawa maimamu ndo hawa hawa wanasalisha mda huo huo wanafanya shughuli za kiganga kupitia quran kama sehemu ya kuwaingizia kipato
Wakristo hawana ushirika na majini bali malaikaKwani Mchungaji hawezi kuita jini? Maana jini ni malaika kiasili kwa mujibu wa ukristo.
Nadhani hujafanikiwa kutenganisha mtu na taasisi. Taasisi huwa hazina dini.Nilidhani ustadhi ni wale watu wa dini wasiojihusisha na riba kumbe ni mdau mzuri wa benki za biashara.
Ninapenda Bakhresa afanye kuwaelimisha wale wenye misimamo mikali tuwe na taifa endelevu.
Sasa hao majini si ndio hao malaika kwa mujibu wa ukristo au umesahau hilo mkuu? Ukristo haufundishi kuwa Mungu aliumba majini bali malaika ndio hao majini.Wakristo hawana ushirika na majini bali malaika
Waislamu ndo wanaushirika na majini mazuri na wana aya zao kwenye quran
Majini na malaika ni vitu viwili tofautiSasa hao majini si ndio hao malaika kwa mujibu wa ukristo au umesahau hilo mkuu? Ukristo haufundishi kuwa Mungu aliumba majini bali malaika ndio hao majini.
Sasa kama malaika na majini ni vitu viwili tofauti mbona mnasema majini ni malaika waliyoasi? Au hao malaika kuasi kwao kumewabadili kutoka kiumbe kimoja na kiumbe chengine?Majini na malaika ni vitu viwili tofauti
Majini wanakaa ndani ya mtu huku malaika hawawezi kaa ndani ya mtu
Ni wapi kwenye biblia kunakosema majini ni malaika walioasiSasa kama malaika na majini ni vitu viwili tofauti mbona mnasema majini ni malaika waliyoasi? Au hao malaika kuasi kwao kumewabadili kutoka kiumbe kimoja na kiumbe chengine?
Sasa dhamana ya kueleweka unayo mkuu?Mbona sisi wengine hatupati hii mikopo.Wanaojua inapatikana vipi watuelekeze.Nimefika sehemu nyingi za mikopo,wanataka dhamana,na wengi,hatuna hizo dhamana.
Kwanini watanzania mnapenda kua wafia dini kiajabu hivyo?Bakhresa ni nani katika uislam?
Sharia za uislam zitabaki hivyo hivyo zilivyo.kama anafanya riba dhambi zipo.atakwenda kujibizana na mungu wake.
Hakuna nilipotaja biblia bali nataja ukristo, kwani biblia inasema nini kuhusu majini?Ni wapi kwenye biblia kunakosema majini ni malaika walioasi
Nionyeshe mstari kutoka kwenye biblia nausubiria
Ukristo ni msingi wake ni bibliaHakuna nilipotaja biblia bali nataja ukristo, kwani biblia inasema nini kuhusu majini?
Ndio nimekuuliza biblia inasema nini kuhusu majini?Ukristo ni msingi wake ni biblia
Hakuna sehemu yeyote biblia inasema malaika walioasi walikua majini
Haisemi chochote kuhusu majini bali malaika ndo inawaongelea sanaNdio nimekuuliza biblia inasema nini kuhusu majini?
Sasa wewe majini umewajuaje?Haisemi chochote kuhusu majini bali malaika ndo inawaongelea sana