kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Habari za asubuhi
Nimekwazika sana baada ya Ndugu yangu Kunisimulia jinsi alivyokosa huduma hospitali kisa hajapata chanjo ya uviko. Nimeumia sana, Tanzania tumefikia hapa?
Tambueni sio wote tuko tayari kuchanjwa, wengine sisi tulishukuru na kufurahi tuliposikia kauli za viongozi wakubwa wa serikali waliposema kuwa chanjo ya uviko ni hiyari.