Sikujua, kumbe chanjo ya uviko ni lazima na si hiyari tena?

Sikujua, kumbe chanjo ya uviko ni lazima na si hiyari tena?

Habari za asubuhi

Nimekwazika sana baada ya Ndugu yangu Kunisimulia jinsi alivyokosa huduma hospitali kisa hajapata chanjo ya uviko. Nimeumia sana, Tanzania tumefikia hapa?
Tambueni sio wote tuko tayari kuchanjwa, wengine sisi tulishukuru na kufurahi tuliposikia kauli za viongozi wakubwa wa serikali waliposema kuwa chanjo ya uviko ni hiyari.
Kuna dili za watu kupiga hela. Sasa hivi ukichoma mtu mmoja 1000tsh kama ni nje ya kituo kama umechoma mtu ndani ya kituo cha afya ni 500tsh watu wanapambana kusaka pesa.

Its all about money.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mimi nilienda kupata huduma ya afya jamaa wakaanza mikwala yao mbuzi aisee liniwachana wakabaki wanatoa mimacho tu. Kwani ni lazima kuchanja fucken kabisa...
 
Back
Top Bottom