Sikujua, kumbe chanjo ya uviko ni lazima na si hiyari tena?

Sikujua, kumbe chanjo ya uviko ni lazima na si hiyari tena?

Chanjo ni hiari hadi pale idadi fulani ikishatimia kiasi cha kuweka msukumo kwa wengine, then itakuwa lazima na malipoo juu.

Sasa hivi ni mwendo mdogo2 ili kujenga ushawishi kwa raia. Wait till next year (provided Mrusi asipofanya yake, of course!)
Itakuwa ni uhuni mwingine kushuhudiwa na watu katika zama zetu.
 
Mbona ishakuwa lazima isyotangazwa na viongozi kitambo tu. Inavyoonekana wahudumu wa afya walishapewa lengo la idadi ya kuchanja hivyo hutumia mbinu ya kushinikiza kuwa kama huna chanjo ya uviko hupatiwi huduma ili kuongeza wachwanjaji.
Itakuwa Hawa wahudumu wamepewa go ahead juu hili wanalolifanya
 
Mimi pia nilisikia wilaya ya Muleba haki na mama wakienda Clinic wanaambiwa wasipochanjwa watoto wao hawahudumiwi. Kwa hiyo aki na mama wanaonyonyesha wote wamechanjwa na bila shaka watoto wao wananyonya kilichowekwa humo.
Kuchanja siyo lazima. Kama hutaki unahama nchi na kwenda huko wasikochanja. Jitenge na jamii inayochanja wala hakuna wa kukusumbua. Lakini kama unataka kuchangamana na waliochanja wakati wewe hujachanja basi jua tatizo liko kwako
 
MACHANJO YA CORONA NI SUMU.

HAYAFAI HATA KUWAPA MBWA.
Kama hutaki kuchanja basi usitake kuchangamana na waliochanja, kaa kwako ujipe huduma mwenyewe. Itafikia kipindi hakuna kupanda usafiri wa umma kama hujachanja, hapo ndiyo utaujua ushetani wa CCM.
 
Jamani naombeni msaada wa taarifa ivi GWAJIMA amechanja, au ndo hatasafiri tena?
 
Dawa yake ni kuhama nchi unaenda huko wasikochanja
Tutabanana humu humu na machanjo yenu ya kuzimu.

Haondoki mtu. Ama zenu ama zetu.

Mtawakamata mazezeta wachache lakini hamtashinda. Na unajua.
 
Kama hutaki unahama nchi na kwenda huko wasikochanja.

Kama umechanja kwanini uwe na hofu na wasiochanja?

UKWELI ni kwamba umejaa hofu kwa sababu hayo MACHANJO hayakukingi kwa lolote.

Licha ya kubugia michanjo debe bado una hofu ya kufa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hizi sio chanjo, ni UCHAFU WA IBILISI.
 
Back
Top Bottom