kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
- Thread starter
- #101
Watoa huduma hospitalini waelimishwe na ikiwezekana wachukuliwe hatua kali sana Kwa hiki kinachoendelea kufanyika.Pole sana kwa ndugu yako, chanjo ya Covid-19 ni hiari na hailazimishwi, kinachotolewa ni elimu na pale mtu anaporidhia ndipo anapewa chanjo, pia hata huduma ya nyumba kwa nyumba ipo katika mfumo huo, sema wahudumu wa afya au viongozi wa wilaya wanatumia kama kigezo cha kufikia target walizowekewa kitaifa. Nimezunguka baadhi ya wilaya katika kuhamisha na kutoa elimu, nakiri kuwa hiyo changamoto ambayo nimekutana nayo na nimewashauri kuwa siyo approach nzuri, mgonjwa ana haki ya kupewa huduma.!