Sikujua, kumbe chanjo ya uviko ni lazima na si hiyari tena?

Sikujua, kumbe chanjo ya uviko ni lazima na si hiyari tena?

Kama umechanja kwanini uwe na hofu na wasiochanja?

UKWELI ni kwamba umejaa hofu kwa sababu hayo MACHANJO hayakukingi kwa lolote.

Licha ya kubugia michanjo debe bado una hofu ya kufa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hizi sio chanjo, ni UCHAFU WA IBILISI.
Msiochanjwa mtaambukiza wengine mi-ebola yenu hiyo.Mchanje!
 
Tunabugia kuku wa kisasa wanaochanjwa kila siku itakuwa ajabu chanjo ya corona?Acha uoga.Tena unatakiwa uchanjwe jichoni ili tuakili twako tukukae uzuri.
Hahaha.....

Machanjo yamepanda kwenye utumbo mpana unaharisha mimavi sasa.

Bado kidogo utalawitiwa kwa kupenda kubugia machanjo ya dezo dezo kutoka ulaya.

Haya bong'oa udungwe chanjo.
 
Ndugu anaishi Mtwara wilaya na Newala, anasema mpaka baadhi ya vijiji kama ilivyo Kitangali wanachanja nyumba hadi nyumba.

Itakuwa wakuu wa mikoa/wilaya wamewekewa kama KPI...
 
Hahaha.....

Machanjo yamepanda kwenye utumbo mpana unaharisha mimavi sasa.

Bado kidogo utalawitiwa kwa kupenda kubugia machanjo ya dezo dezo kutoka ulaya.

Haya bong'oa udungwe chanjo.
Dogo,you have got a bigger problem on your behind!Hauwezi kueleza jambo bila lugha mgagasiko?Stupid!Haufai kupeana uzoefu nami.Nioko!
 
Chanjo ni muhimu kwenye kuhakikisha kinga ya mwili inakuwa imara. Tuchanje wengi Ili Kinga ya jamii iwe kubwa.
Pia ni gharama sana kwa serikali na jamii pindi watu wengi wanapougua. Wote tunakumbuka jinsi hospitali zilivyojaa mwaka jana na wengi kukosa huduma muhimu hasa ya hewa ya oksijeni.
 
Chanjo ni muhimu kwenye kuhakikisha kinga ya mwili inakuwa imara.

Nakuona ibilisi unanyapia nyapia kuwakamata watu mawazo yao.

Hiyo Kinga ya jamii nzima inapatikana kwa kutumia KINGA ASILI YA MWILI na sio MACHANJO. (Herd immunity).

Virusi vikishajibadilisha badilisha, miili ya watu inajenga kinga baada ya muda.

Na sio kuwalisha watu hayo matakataka ya BOOSTER sijui BUSTA.
 
Mimi pia nilisikia wilaya ya Muleba haki na mama wakienda Clinic wanaambiwa wasipochanjwa watoto wao hawahudumiwi. Kwa hiyo aki na mama wanaonyonyesha wote wamechanjwa na bila shaka watoto wao wananyonya kilichowekwa humo.
Elimu ya wapi hiyo?
 
Habari za asubuhi

Nimekwazika sana baada ya Ndugu yangu Kunisimulia jinsi alivyokosa huduma hospitali kisa hajapata chanjo ya uviko. Nimeumia sana, Tanzania tumefikia hapa?

Tambueni sio wote tuko tayari kuchanjwa, wengine sisi tulishukuru na kufurahi tuliposikia kauli za viongozi wakubwa wa serikali waliposema kuwa chanjo ya uviko ni hiyari.
Unashindwa kutaja hata jina la hiyo hospitali? Hayo ni majungu tu sasa.
 
Habari za asubuhi

Nimekwazika sana baada ya Ndugu yangu Kunisimulia jinsi alivyokosa huduma hospitali kisa hajapata chanjo ya uviko. Nimeumia sana, Tanzania tumefikia hapa?

Tambueni sio wote tuko tayari kuchanjwa, wengine sisi tulishukuru na kufurahi tuliposikia kauli za viongozi wakubwa wa serikali waliposema kuwa chanjo ya uviko ni hiyari.
Pole sana kwa ndugu yako, chanjo ya Covid-19 ni hiari na hailazimishwi, kinachotolewa ni elimu na pale mtu anaporidhia ndipo anapewa chanjo, pia hata huduma ya nyumba kwa nyumba ipo katika mfumo huo, sema wahudumu wa afya au viongozi wa wilaya wanatumia kama kigezo cha kufikia target walizowekewa kitaifa. Nimezunguka baadhi ya wilaya katika kuhamisha na kutoa elimu, nakiri kuwa hiyo changamoto ambayo nimekutana nayo na nimewashauri kuwa siyo approach nzuri, mgonjwa ana haki ya kupewa huduma.!
 
Back
Top Bottom