kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
du!! Pole sana, imefikia huko? Hospital gani hiyo?Habari za asubuhi
Nimekwazika sana baada ya Ndugu yangu Kunisimulia jinsi alivyokosa huduma hospitali kisa hajapata chanjo ya uviko. Nimeumia sana, Tanzania tumefikia hapa?
Tambueni sio wote tuko tayari kuchanjwa, wengine sisi tulishukuru na kufurahi tuliposikia kauli za viongozi wakubwa wa serikali waliposema kuwa chanjo ya uviko ni hiyari.
Ndugu anaishi Mtwara wilaya na Newala, anasema mpaka baadhi ya vijiji kama ilivyo Kitangali wanachanja nyumba hadi nyumba.du!!pole sana,imefikia huko?.hospital gani hiyo?
Hilo nalo lipo, karibia Kila zahanati mkoani MtwaraMimi pia nilisikia wilaya ya Muleba aki na mama wakienda Clinic wanaambiwa wasipochanjwa watoto wao hawahudumiwi. Kwa hiyo aki na mama wanaonyonyesha wote wamechanjwa na bila shaka watoto wao wananyonya kilichowekwa humo.
Amelazimishwa ndugu yangu na watu wengineCHANJO SIO LAZIMA NI HIYARI, KAWASHTAKI MAHAKAMANI HAO WALIOKULAZIMISHA
Imemletea madhara?Amelazimishwa ndugu yangu na watu wengine
Hakuchanja aliamua kukosa hudumaImemletea madhara?
Bora, ila alienda kupata sehemu ingine sioHakuchanja aliamua kukosa huduma
NEOCOLO..........Habari za asubuhi
Nimekwazika sana baada ya Ndugu yangu Kunisimulia jinsi alivyokosa huduma hospitali kisa hajapata chanjo ya uviko. Nimeumia sana, Tanzania tumefikia hapa?
Tambueni sio wote tuko tayari kuchanjwa, wengine sisi tulishukuru na kufurahi tuliposikia kauli za viongozi wakubwa wa serikali waliposema kuwa chanjo ya uviko ni hiyari.
Panadol unazotumiaga unajua zimetengenezwaje?!Hayo machanjo yana kitu kibaya sana ndani yake.
Ni bora kufa kuliko kudungwa hayo matakataka.
Chanjo Ni ufunuo wa Mungu ili kuwaokoa wanaadamu dhidi ya covid19Mungu apishilie mbali
Ingekuwa ni chanjo ya ukimwi ungekuwa tayari umeisha chanja bila kujali mambo mengine.Hayo machanjo yana kitu kibaya sana ndani yake.
Ni bora kufa kuliko kudungwa hayo matakataka.