kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
- Thread starter
-
- #101
Watoa huduma hospitalini waelimishwe na ikiwezekana wachukuliwe hatua kali sana Kwa hiki kinachoendelea kufanyika.Pole sana kwa ndugu yako, chanjo ya Covid-19 ni hiari na hailazimishwi, kinachotolewa ni elimu na pale mtu anaporidhia ndipo anapewa chanjo, pia hata huduma ya nyumba kwa nyumba ipo katika mfumo huo, sema wahudumu wa afya au viongozi wa wilaya wanatumia kama kigezo cha kufikia target walizowekewa kitaifa. Nimezunguka baadhi ya wilaya katika kuhamisha na kutoa elimu, nakiri kuwa hiyo changamoto ambayo nimekutana nayo na nimewashauri kuwa siyo approach nzuri, mgonjwa ana haki ya kupewa huduma.!
Kifo chaJiwe mjambiani sa10000 anausika ukweli tumeujua na chakumfanya tunakijua watz
Nisingemzidi mama yako mzazi.Sijakuita uje uchangie,una maneno machafu kama choo Cha jumuiya ungekuwa mwanamke ungekuwa kahaba.
Nenda ukajifunze maana ya ushirikina kwanza halafu SoMo la pili ujifunze juu ya tiba za asili halafu utakuja kurefer na kile alichokuwa anakifanya Magufuli juu ya ugonjwa wa corona.Mtu pori, aliakuwa anaamini ushirikina dhidi ya Science.
SawaUnashindwa kutaja hata jina la hiyo hospitali? Hayo ni majungu tu sasa.
Acha mawazo potofu, hapo umepata chanjo ya PEPOPUNDA, KIFADURO, KIFAFA, NDUI, MATENDE NA MABUSHA, SURUA, TETENASI nk.Mimi pia nilisikia wilaya ya Muleba haki na mama wakienda Clinic wanaambiwa wasipochanjwa watoto wao hawahudumiwi. Kwa hiyo aki na mama wanaonyonyesha wote wamechanjwa na bila shaka watoto wao wananyonya kilichowekwa humo.
Walete chanjo ya malaria nitachanjaChanjo ni muhimu kwenye kuhakikisha kinga ya mwili inakuwa imara. Tuchanje wengi Ili Kinga ya jamii iwe kubwa.
Pia ni gharama sana kwa serikali na jamii pindi watu wengi wanapougua. Wote tunakumbuka jinsi hospitali zilivyojaa mwaka jana na wengi kukosa huduma muhimu hasa ya hewa ya oksijeni.
Now i see how this DEMONIC syndicate works.Kuna dili za watu kupiga hela. Sasa hivi ukichoma mtu mmoja 1000tsh kama ni nje ya kituo kama umechoma mtu ndani ya kituo cha afya ni 500tsh watu wanapambana kusaka pesa.
Its all about money.
#MaendeleoHayanaChama
Ebo!!!Wale wenye Imani ya kwangu tayari ile chapa ya 666 inaanza taratibu maandiko lazima yatimie kiama hakipo mbali
Mshirikina ni mshirikina tu. Uliona kilichofanyika wakati wa mazishi yake?Nenda ukajifunze maana ya ushirikina kwanza halafu SoMo la pili ujifunze juu ya tiba za asili halafu utakuja kurefer na kile alichokuwa anakifanya Magufuli juu ya ugonjwa wa corona.
Acha kuwaingiza Watanzania kwenye ujinga wenu, sema sisi sukuma gang tunakijua. Hata kama huyo sa1000 anahusika basi ni vyema sana kikubwa Taifa limeponywa dhidi ya yule muuaji, wizi na muongo.Kifo chaJiwe mjambiani sa10000 anausika ukweli tumeujua na chakumfanya tunakijua watz
Hao wanaotumia njia ya kuchanja wateja ili kupata huduma ni watumishi wapumbavu, ni wale wenye kupenda sifa kazini ili apate fursa nyingine.Watumishi hao ni wasiojiamini,wanafiki na wenye vyeti vya kuunga unga.Mimi pia nilisikia wilaya ya Muleba haki na mama wakienda Clinic wanaambiwa wasipochanjwa watoto wao hawahudumiwi. Kwa hiyo aki na mama wanaonyonyesha wote wamechanjwa na bila shaka watoto wao wananyonya kilichowekwa humo.
Dah muleba kwetu kwahiyo dada zangu ukiwala denda umekila chanjoMimi pia nilisikia wilaya ya Muleba haki na mama wakienda Clinic wanaambiwa wasipochanjwa watoto wao hawahudumiwi. Kwa hiyo aki na mama wanaonyonyesha wote wamechanjwa na bila shaka watoto wao wananyonya kilichowekwa humo.