Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Wazee mi nilijuaga hii mishe watu wanaacha automatically wakiwa wanaachana na ule umri wa kubarehe kumbe ni addiction kama addiction nyingine tu.
Kumbe kuna Married men wanapiga punyeto, Womanizers wenye mademu lukuki lakini bado nao ni hivyo hivyo.
Aisee achana na kitu kinaitwa addiction. Yani mtu yupo kwenye late 20s, 30s na 40s bado anaridhika akisugua dude lake na mikono yake mwenyewe.
Mimi sio expert wa afya au mpiga nyeto so sijui faida na hasara za kufanya mustarbation.