Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Vigumu sana kumuelewesha Mtu asiyejua kitu na kashajiandaa kisaikolojia kubisha.Kiufupi hauna Jibu na jibu ni kwamba hakuna faida Mwanaume kulala na Mwanamke ambae haridhiki nae kingono, ni malazimisho ya Jamii tu society force you to do that unaoa/unaolewa si kwa sababu umeridhika na mtu huyo Ila tu unaficha aibu kwa Jamii na wewe uonekane kwamba una sehemu ya kufichia uzinzi wako
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.